hv hawa jamaa kila cku kutoa majina nusu nusu manake nn jaman kuturusha roho kwa nn wasikamilishe kila ki2 then wayaweke kwa pamoja badala ya kuweka nusunusu tena wakichanganya na majina ya wale waliopangiwa kweny batch za mwanzo
hv hawa jamaa kila cku kutoa
majina nusu nusu manake nn jaman kuturusha roho kwa nn wasikamilishe
kila ki2 then wayaweke kwa pamoja badala ya kuweka nusunusu tena
wakichanganya na majina ya wale waliopangiwa kweny batch za
mwanzo
hawa wakina elimu hawana kitu vichwani. Sisi tunawadai malimbikizo ya
mishahara nikiwa nimepanda cheo fast time, second time na sasa nimepanda
cheo tena, cha ajab wanatoa majina matatu, mara manne nawadai
malimbikizo yngu. Cna pakuanzia, eti wanawapa malimbikiwa walm wapya. ss hawatutaki, na mtatukosa wa;/=>< wakubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.