Wizara ya elimu wanafiki

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Ni unafiki unaofanywa na wizara ya elimu kujifanya wamewaonea huruma watoto wa darasa la saba waliowafutia matokeo eti watakariri darasa mwaka huu. kwa mtazamo wangu hawa watu walishangazwa na ufaulu mkubwa wa watoto na kupima jinsi serikali ilivyofilisika watawaweka wapi, mbinu ya pekee ya kijasusi ni kupunguza idadi kwa kusingizia mtihani umeibiwa. Haingii akilini hata kidogo. Kama wanabadilisha matokeo ya uchaguzi na wanajisifu watashindwaje kwa hawa watoto. Kihama chao kimetimia wataumbuka sana nyakati hizi kwa kuweka siasa kwenye mambo lisilo la kisiasa.
Source:mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom