uzia syden
Member
- Apr 14, 2015
- 6
- 0
Hoja yangu kwa tamisemi serikali inachelewesha kulipa mapunjo ya mishahara lakini kadiri inavyochelewa kulipa kuna charges ambazo hutozwa kulingana na muda tangu uliporekebishiwa mshahara hadi mwezi utakao lipwa,hivyo nani anastahili kutozwa hizo charges walipeni walimu mapunjo ya mishahara mapema kadiri inavyowezekana ili kupunguza ukali wa MAISHA.