Wizara ya elimu mchukueni reo wa mbeya hatufai

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
hivi wizara ya elimu mnataka mpka mkoa wa mbeya uwe wa mwisho ndio mchukue hatua dhidi ya reo huyu mzinzi na mbabe? Huyu gwaride limemshinda tuondoleeni . Kaupokea mkoa ukiwa kwenye top 5 sasa nafasi ya 15 hafai
 
Hebu fafanua vizuri nini mchango wake katika kushusha kiwango cha ufaulu
 
Huyu REO kwa kweli hafai kabisa sio tu kukaa mkoa wa Mbeya bali hafai kwa cheo hicho ,kazi yake ni uzinzi tu na majungu; waalimu wachapa kazi kama yule mama mkuu wa Loleza ndio anawapikia majungu waondolewe kwani hawafuati matakwa yake!! Kuna umuhimu kwa wizara kumchukulia hatua za haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi..
 
Back
Top Bottom