The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Inasikitisha sana wizara ya elimu badala ya kushughulikia matatizo ya elimu wamekazana kutangaza mara kumi bora mara kushusha walim wakuu madaraka. Hivi katika shule yenye mwl mmoja atafanyaje ili afaulishe watoto!?