WIZARA ya elimu ingetoa Muongozo unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,730
Reaction score
9,907
Kama Mzazi

WIZARA ingetoa MUONGOZO unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri
Darasa la nne na la Saba

A) WATOTO kutakiwa kwenda Shule siku za Sikukuu za kitaifa
Sikukuu zoote watoto baadhi ya Shule wanatakiwa kwenda Shuleni

Na hata kesho,watoto hao badhi ya Shule wameambiwa waende Shuleni kama kawaida,na pesa ya mtihani wa kila Jmosi na Chakula baadhi ya Shule ni 2,000 na Shule nyingine ni 500

Issues sio pesa,ila waalim muda wa kufundisha siku za kawaida wanaupotezea na kuongeza nguvu siku ya Jmosi Ili ku attract Mzazi

Mtoto anatoka nyumbani Saa 12 anarudi Saa 12 au Saa Moja Jioni,just imagine at age ya standard 4 au 7

Huku Kaka zake au Dada zake wanaosoma secondary school yeye anawakuta nyumbani waliishafika kitambo.

Watoto wa Kiislam hawana muda wa Madrasa siku za weekends na Watoto wa Kikristo hawapati Haki yao ya Jmosi na evening classes za dini ambazo zipo wiki nzima

Watoto wanarudi hoi,counter books 10 mgongoni,wanarudi nyumbani wakifika wanalala tu,tunajenga kizazi chenye uhafifu wa kumbukumbu,hawa watoto hata ukikaa nao wanaona kama kusoma ni sehem ya adhabu.

Sasa hili la kesho,sikuuu ila watoto wameambiwa waende na Pesa ya mtihani wa Saturday session na hata hivyo hiyo mitihani ukiiona ni Sawa na Mwalim kufundisha kisha kutoa zoezi tu.

Angalizo:- kesho pitieni mashuleni na ni public holiday muhim mtakuta watoto wa primary standard 4 and 7 wapo Shule,hasa Jiji la DAR

Zama hizo Elim msiifanye kuwa nguuum kivile,wakati sie tunasoma mnaanza Saa 2 mnatoka 8 na Nusu na tulifanya vizuri tu.

Leo Mtoto Saa 12 Shule kutoka usiku na ukikagua madftar hamna jipya la ku hold muda mwingi Mtoto shuleni
 
Leo Mtoto Saa 12 Shule kutoka usiku na ukikagua madftar hamna jipya la ku hold muda mwingi Mtoto shuleNi kweli kabisa
 
Back
Top Bottom