Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
Hakika ninayoyaeleza hapa yananitoka moyoni tena ndani ya moyo unaoumia namadudu yanayoendelea kutokea katika wizara nyet/mama ya elimu,
Katika taifa lolote ambalo linahitaji maendeleo yakweli hapa duniani mapinduzi huanza na sekta hii, Mara nyingi hapa kwetu madudu mengi yamekuwa yakiikumba wizara hii, najiuliza tatizo ni waziri anayehusika au mfumo wa nchi yetu kutoeleweka vizuri?
Tangu enzi za #mh_MAKWETA , #J_MUNGAI , M_SITTA, Mh_MAGHEMBE na sasa #M_SHUKURU KAWAMBWA kadili muda unavyosonga ndi mambo yanazidi kuwa mabaya KILA MTU NISHAHIDI KATIKA HILO
Nathamini sana makongamano na mijadala mbalimbali inayoendeshwa na wasomi wetu na taasisi mbalimbali hapa tz yenye lengo lakuonyesha sababu zinazopelekea poor perfomance na pia solution za kutatua matatizo hayo .....
Hapo napata tena swali hivi waziri mwenyezamana hivi huwa hayamfikii au huwa ana yapuuza...?
Je Raisi wetu mpendwa haoni kama hili nitatizo tena kubwa.....? kwanini hafanyi maamuzi? BRN imeshafeli kabla hata haijawa aplied maeneo yote