Wizara ya Elimu haiko serious kabisa.

Wizara ya Elimu haiko serious kabisa.

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,265
Mwisho wa course wahitimu wake hawako competent kipractical but wamejaa history tu za hayo masomo NA theory zake sababu ht muda wanaosoma ni mchache sana ukilinganisha na nchi nyingine mfn cause ya Biology nchi nyingine wanasoma miaka minne mpk mitano yani miaka 3 ya kwanza ni kama wanadeal NA theory tu then miaka 2 in mfulilizo wa practical na specialization sambamba na kupiga field kwa nyanja walizochagua but hapa kwetu no miaka 3 tu mtu an a graduate hii ni dhambi kabisa.
Kingine hawa graduate ndo watu muhimu sana katika uvumbuzi,uchunguzi NA ht ufundishaji WA hizi course kwa wengine bt wameachwa tu mtaani eti wanapiga tempo NA kujitolea kwenye shule huku wakiishia kulipwa viposho vya kuunga kuunga na headmasters.
For sure wizara wajipange sana hizi section km hawawezi bora wazi abolish tu sababu watu wanatumia money and time but wana end up in vain.
Nawasilisha mazee
.
 
Back
Top Bottom