Tumemuelewa tunaifanyia kazi hoja yakeNyie wakuu mmemuelewa?
Mtihani unapima uwezo wa mwanafunziWizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza la SITA watafaulishwa wote kuingia kidato cha Kwanza kulingana na competence ya mtoto.
Sasa sijui mnakwama wapi kutupa muongozo na kutujengea shule mpya kila kata ili watoto sasa waache kuteswa kutoka usiku Sana kwa kisingizio cha darasa la nne wakati Mataala unaonyesha ni kusoma kama shule za international watoto wapimwe kwa competence sasa.
Kwani mtihani unakukwaza nini?Mtihani ni kipimo cha uelewa kwa wote wawili.Mwanafunzi na mwalimu. Tulia watoto wapimwe.Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza la SITA watafaulishwa wote kuingia kidato cha Kwanza kulingana na competence ya mtoto.
Sasa sijui mnakwama wapi kutupa muongozo na kutujengea shule mpya kila kata ili watoto sasa waache kuteswa kutoka usiku Sana kwa kisingizio cha darasa la nne wakati Mataala unaonyesha ni kusoma kama shule za international watoto wapimwe kwa competence sasa.
Hata kuandika tu haujui.Haujaelewa chochote ngumbaru wewe!Tumemuelewa na anahoja kwa kweli, na hoja yake tunaifanyia kazi ili tume ruhusa Maalum kwa mwanae asiweze kuangaika kusoma darasa la nne na ikibidi asifanye mtihani, yeye kijana wake ataenda moja kwa moja darasa la tano
Una wasiwasi kwasababu mtoto ako bogasi unahofu atafeli?.Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza la SITA watafaulishwa wote kuingia kidato cha Kwanza kulingana na competence ya mtoto.
Sasa sijui mnakwama wapi kutupa muongozo na kutujengea shule mpya kila kata ili watoto sasa waache kuteswa kutoka usiku Sana kwa kisingizio cha darasa la nne wakati Mataala unaonyesha ni kusoma kama shule za international watoto wapimwe kwa competence sasa.
😂😂😂😂endelea kuteseka tajiri!Hata kuandika tu haujui.Haujaelewa chochote ngumbaru wewe!
Hapa umeonyesha wewe ni CCM kweli. Kwamba mtoto kupimwa uelewa ni kuhangaishwa?Tumemuelewa na anahoja kwa kweli, na hoja yake tunaifanyia kazi ili tume ruhusa Maalum kwa mwanae asiweze kuangaika kusoma darasa la nne na ikibidi asifanye mtihani, yeye kijana wake ataenda moja kwa moja darasa la tano
Ata wewe ukiona mwanao hana uhitaji wa kwenda shule ni sawa kabisa!Hapa umeonyesha wewe ni CCM kweli. Kwamba mtoto kupimwa uelewa ni kuhangaishwa?
Hapa umekazia kiCCM. Toka lini elimu imewahi kukosa uhitaji?Ata wewe ukiona mwanao hana uhitaji wa kwenda shule ni sawa kabisa!
Utakuwa baba bora kwa familia yako na mfano wa kuigwa katika ukoo