Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
hello wakuu. msaada kwa anaejua ofisi hiyo ilipo. Asanteni sn
Ipo karibu na IFM. Nenda IFM (kama hujui IFM basi ulizia ilipo Benki Kuu ya Tz - BOT). Ni lazima ufike posta kwanza.hello wakuu. msaada kwa anaejua ofisi hiyo ilipo. Asanteni sn
Ipo karibu na IFM. Nenda IFM (kama hujui IFM basi ulizia ilipo Benki Kuu ya Tz - BOT). Ni lazima ufike posta kwanza.
Ukifika IFM uliza utaonyeshwa.