Unasema hivyo sababu haujakupata wewe wala nduguyo?Dah! Viongozi wa wabongo bhana wameweka mbele kula utafikiri nn cjui!
Tunaomba mtuwie radhi ndugu watanzania nyote mnaotufuatilia dili zetu, bado viongozi wetu wakuu wanaendelea kutafuta fedha za uchaguzi mwaka ujao 2015...
KAKA unaweza usiamini lakini ni kweli kuna mch.anaitwa mchungaji gwajima niliiingia YOUTUBE nikaona crip yake anakemea serikali anaiambia iache uhuni wa kuwaibia wanachi pesa kwa kusingizia Dengue yaani aliongea kweli we GOogle GWAJIMA DENGUE YOU TUBE
Ugonjwa huu ulitanganzwa kwa namna ya pekee,hasa viongozi wetu wa serikali na baadhi ya Madaktari wetu.
Na tulisikia kuwa uliua Watanzania wenzetu. Swali langu,huu ugonjwa umeishia wapi?.
Kwa nini hawajatuambia dawa waliotumia kuutokomeza maana tunashukuru kama wameutokomeza kabisa.
Wasipotuambia tunaibua maswali mengi mojawapo ni au lilikuwa ni dili tu.
Maana kuna semina nyingi yawezekana zilifanywa na wizara ya afya.
Na inawezekana kabisa serikali ilitoa fungu kubwa. Je, hizo pesa zilienda wapi kama fungu lilitoka?