Wizara ya Afya...SHAME ON YOU!


Luhanjo Iringa ?, Nyoni Iringa/Songea? Dr Mtasiwa Iringa?

Hivi Dr Mtasiwa alimaliza Intern lini? alitibia wapi na wapi or alifikaje fikaje pale na kuukwaa u CM-D??
 

Rudia tena.kusoma............wapi nimemtetea mama Nyoni..........?..........................Yeye ana mabaya yake narudia tena..............lakaini kama alivyosema MTM .............na tuitumie hii nafasi kumwomba Mh. Rais , asiishie hapo tu maadam kaaamua kulivalia njuga hili swala ....afagie na hizi takataka zilizoji
ficha upenuni mwa nyumba asiishie na zile kule uwanjani zinazoonekana na kila mtu!
 

hiyo ni moja

nani anazo taarifa za mradi wa miwani kwaajili ya watu wa chini wa adjustable glasses.............Wizara ya afya mnaweza kutuambia ni kwa vipi mmehusika kuhujumu mradi huu wa miwani kwa watu wasio kuwa na uwezo huku vijijini?
 
Nani asiyejua kutokana na kuzidiwa Wizara ya afyam mehamishia rushwa kwa madaktari ambao kwa njaa waliokuwa nayo wamekuwa wakiwaomba rushwa wagonjwa?

Hapo kwenu kila mtu anayo level yake ya ufisadi!
 

Huhitaji digrii kusoma mawazo yako, ni wazi umekelekwa na kushughulikiwa kwa huyo mama na hii inakuweka kwenye kundi la utetezi zaidi. Nafikiri wewe ndo ungepitia upya post yako, naposema unataka kutofautiana na wengine kuhusu mama nyoni na kuelekeza lawama kwa watendaji wengi ukidai ukionyesha wazi kuwa kilichofanyika ni baadhi ya watendaji wake kutumia udhaifu wa mgomo huu kummaliza. Samahani pengine sijui kiswahili vizuri ila nahisi hii kama kauli ya utetezi..:A S-confused1:
 
Luhanjo Iringa ?, Nyoni Iringa/Songea? Dr Mtasiwa Iringa?

Hivi Dr Mtasiwa alimaliza Intern lini? alitibia wapi na wapi or alifikaje fikaje pale na kuukwaa u CM-D??

Nenda kaisome signature ya Invisible, halafu utakapoingia jamvi lolote la JF utajua nini maana ya kukaa kimya.
 
Umeiweka mwake

Kuna workshops hewwa dunia Nzima pale
 

Bahati mbaya siwezi zuia kutafsiriwa visivyo..........na hii post yako imeonesha hilo.........umepatia nimekerwa na kitu kimmoja...........Blandina nyoni ni papa miongoni mwa mapapa wengine.........nimekerwa kwa kutoona hao wengine kutoshughulikiwa kwenye hili.........
 

Yaani humu watu kwa kukariri hawajambo, sijui lini tutakuwa tunafanya critical analysis.

Any ninakubaliana na wewe kuwa Ndina hakuwa msafi, lakini ni ukweli usiofichika kuwa hapo wizarani kuwa wachafu zaidi yake.

Tuanze na kujiuliza Blandina amehamia lini MoHSW na matatizo ya madaktari yameanza lini?
 
Usiwe na matumaini makubwa na huyo rais, yeye aliwekwa madarakani na wanamtandao ambao kwa sasa ndio wanaoiongoza serikali, na kwahiyo utatuzi wa MoH utategemea nani member wa mtandao ili alindwe na nani sio member ili atoswe, natusubiri tuone.
 
Usiwe na matumaini makubwa na huyo rais, yeye aliwekwa madarakani na wanamtandao ambao kwa sasa ndio wanaoiongoza serikali, na kwahiyo utatuzi wa MoH utategemea nani member wa mtandao ili alindwe na nani sio member ili atoswe, natusubiri tuone.

Gwalihenzi ........tusikate tamaa..........hili lingetokea mwaka 2008 nakuhakikishia kuwa hakuna hatua yoyote ile ingechukuliwa, tuzidi kumwomba Mungu awatie hofu wakuu hawa wa Serikalini wajue kuwa wano wajibu kwa sisi binadamu wenzao kadri ya dhamana tuliyowakabidhi!
 


You may be rite but he has just shown us another avenue to reach our destiny....of which is not to end with big fishes only. An over haul is what he is crying for
 
Hii sinema ya mapacha wawili imeishia wapi?
 
Hivi waziri bado anaongoza hii wizara?JK mbona kakaa kimya?Chonde chonde msije mkawapa madaktari wetu sababu za kugoma tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…