Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Habari za asubuhi?Duh! Tuhuma nzito hizo M_J. Ngoja nao waje wajitetee!
Duh! Tuhuma nzito hizo M_J. Ngoja nao waje wajitetee!
Utakua umetumwa wewe mbayuwayu!
Kwani ni nani alitaka huyo bi kidude nyoni atoke hapo wizarani? Madaktari au hao watumishi wa kwenye hizo idara?
Mwambie ajiandae kupanda karandinga yeye na mhehe mwenzake Dr Mtasiwa.
Si walikuwa wanamtegemea Godfather wao Luanjo, now inakula kwao sasa.

Habari za asubuhi?
We uko wizara ya Afya, hebu tuambie hizi tuhuma ni za kweli?
Msibaki kumtupia kila lawama Blandina Nyoni................na hili nalisema alipokuja hapo alizima mbinu zenu chafu za kuiiibia serikali na umma semeni na hilo pia..........pamoja na mbaya yake lakini aliweza kuwadhibiti na hivyo niko sahihi nikisema mmelitumia hili tatizo kuhakikisha mnmaliza .......sawa nyie wenyewe wasafi...............Blandina Nyoni hakuwa anawaslinaina na kila Daktari moja kwa moja ni nyie hapo makao makuu kupitia idara zenu...........kama ni kusimamishwa kazi.............wote mnastahili mpigwe chini kabisa................muondoke kwenye himaya mlizojijengea hapo wizarani.................Wanafiki wakubwa..................kama ni kushangilia kuondolewa Blandina Nyoni washangilie madaktari lakini sio ninyi hapo wizarani.....
Maskini Jeuri, wewe unaonyesha kuwa kibaraka wa Mama Nyoni. Huna ushahidi wa tuhuma zako. Ni kweli MoHSW kuna madudu ya miaka mingi lakini si kama unavyoeleza.
Wewe unaeleza kwasababu umenyang'anywa kitumbua ama unayempenda kanyang'anywa kitumbua. Acha hizo. Utaumbuka.
Nitakwenda kinyume na wengi..............mtiriiriko wa yaliyojiri hivi karibuni katika Wizara hii pamoja na mgomo wa Madaktari...........ni matokeo ya uozo na mbinu chafu zilizokuwa zikiendelea wizarani hapo kwa muda mrefu.............!
Blandina Nyoni ana mapungufu yake lakini pia kwa sehemu kubwa watumishi wa wizari hii hasa hapo makao makuu mnabeba nusu ya lawama za mabaya ambayo yamepelekea matatizo lukuki kwenye wizara hii nyeti.
Simtetei Mama Nyoni lakini niseme ukweli kuwa hapa ametumika (si kama kondoo wa kafar kwa sababu naye ana makosa yake kama pia kwenye hili) tofauti na Dr Mtasiwa ambaye mie namuona kama ni kondoo wa kafara kwenye hili..............watumishi wa makao makuu hasa wale kwenye maidara nani aisyejua mmekuwa mkiwanyanyasa madaktari wetu hasa wanapodai haki zao msingi kwa miongo mingi tu hata kabla ya mama Nyoni kuwepo hapo? Nani asiyejua kuwa ninyi mmemkuwa kikwazo kwa kuwanyima na kuwaibia stahiki zao? Nani asiyejua kuwa mmesabisha hadi baadhi ya madaktari bingwa kuondoka serikalini na hata wengine kuikimbia nchi na kwenda kufanya kazi nje kwa dhuluma zenu? Nani asiyejua mmekua mkitoa nafasi za masomo kwa upendeleo na hata wakati mwingine kwa rushwa ilhali ninyi hasa msiokuwa madaktari mmekuwa mkijipa nafasi na malipo mbalimbali bila hata ya aibu? Nani asiyejua kua ninyi ndio haswa chanzo cha madaktari wetu kuichukia wizara yao wenyewe, wizara iliyopaswa kuangalia mambo yao na hatimaye kugoma? kero nyingi za madaktari zilipaswa kutatuliwa na nyie.....hebu tuambieni mlichukua hatua gani zilizokuwa chini ya uwezo wenu?
Msibaki kumtupia kila lawama Blandina Nyoni................na hili nalisema alipokuja hapo alizima mbinu zenu chafu za kuiiibia serikali na umma semeni na hilo pia..........pamoja na mbaya yake lakini aliweza kuwadhibiti na hivyo niko sahihi nikisema mmelitumia hili tatizo kuhakikisha mnmaliza .......sawa nyie wenyewe wasafi...............Blandina Nyoni hakuwa anawaslinaina na kila Daktari moja kwa moja ni nyie hapo makao makuu kupitia idara zenu...........kama ni kusimamishwa kazi.............wote mnastahili mpigwe chini kabisa................muondoke kwenye himaya mlizojijengea hapo wizarani.................Wanafiki wakubwa..................kama ni kushangilia kuondolewa Blandina Nyoni washangilie madaktari lakini sio ninyi hapo wizarani.....
mNYAMAHODZO... LABDA TUWE MODERATE KIDOGO TU (INGAWA MIMI MWENYEWE NI EXTREMIST WHEN IT COMES TO HEALTH PROFESSIONALS RIGHTS)...
- Tuna matatizo pale wizarani kuanzia scholarships, kupotea kwa files, postings na abuse of power ya wakuu wa baadhi ya idara
- tuna shida kubwa sana finance na procurement
- Ila Mama Nyoni crossed all the borders beyond repair
- Hivi mnakumbuka murders zilizotembea pale? kashfa ya vitendanishi?, expiries?, songombingo za ARV regimes?, kasheshe za vocha za neti, ukosefu wa dawa za TB, hali ya diagnostics nk?
Lets use this opportunity kusafisha wizara na hata wale wanharibifu waliobaki basi wajirekebishe au nao waondoke