Wizara ya afya isimkwamishe Rais,iwe serious

Wizara ya afya isimkwamishe Rais,iwe serious

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Rais ametoa agizo ya kwamba uzazi wa mpango usifuatwe,wazazi wafyatue tu sasa tunatarajia wahusika wa wizara ya afya kusimamisha mara moja vi NGO mara sijui family planning sijui nyota ya kijani vinavyodanganya watanzania wasizaliane,fungia hivyo vitamzuia Rais kutimiza malengo yake.
 
Yap umenena ukweli, wafungie NGO zote zinazohusika na majira mpaka jamaa amalize vipindi vyake, tunasubiri utekelezaji pia kurugenzi ya mawasiliano tunasubiri mtuandikie uthibitisho wa maneno ya kufyatua watoto!
 
Back
Top Bottom