Wizara ya Afya ina hatarisha afya za watanzania

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,223
Reaction score
5,512
Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa kwa miaka 13. Tuna watoto 3, miaka 12, 7 na 2. Tuna active sex life lakini tumekuwa tukitumia condom kama njia ya kupanga uzazi na kwa kweli imetisaidia sana kwa kipindi chote hiki. Hivyo basi ndani kwetu huwa tuna weka box la condom na Tube ya KY. Kwa sababu tunatumia condom angalau mara 2 kwa mwezi tube ina moja tunaweza kuitumia mwaka mzima.

Tunatumia tube ili kuongeza utelezi maana mke wangu ni mkavu kiasi na kutumia condom bila kuongezea mafuta inakuwa karaha kwake.

Sasa jana nilipita dukani kutafuta tube ya KY maana tuliyokuwa nayo imeisha. Cha ajabu nimezunguka maduka yote ya pharmacy karibu yetu hakukuwa na KY Jelly.

Nilichoambiwa ni kwamba Wizara ilipiga marufuku kwa sababu eti zinatumiwa na wapenzi wa jinsia moja.

Hili jambo limenishangaza sana. Kwasababu.
1. Jelly hutumiwa na wapenzi wa jinsia zote hasa pale ambapo wanatumia condom. Kwa nini hawajawafikiria hawa wote ambao ni wengi?

2. Kuna wapenzi wa jinsia tofauti ambao pia wanatumia njia mbadala kufanya mapenzi, je hao wanalindwaje?

3. Kuondoa vilainishi ndo kutafanya watu waache kufanya mapenzi ya jinsia moja au inaweka kwenye hatari zaidi?

Nikajaribu kumuuliza msela wangu mmoja ambaye yeye ni mchepukaji mzuri...je anafanyaje? Akaniambia inabidi warumie mate. Sasa mate si ni hatari pia kwa afya hasa mwanamke? Maana mtu anaweza kuwa na maambukizi ya bakteria mdomoni halafu akamuambukiza mpenzi wake kwa njia ya mate. Nikajiuliza huwenda ndo maana magonjwa kama UTI kwa kina mama yameongezeka zaidi.

Kwa kweli hii ni hatari sana. Tunaomba wizara itengue haya maagizo na jelly ziendelee kuuzwa kama kawaida.
 
Hata kama ingekua inatumiwa na jinsia moja,kunyima vilainishi hakuondoi Mashoga,watu wataendelea kufanya yao..na maambukizi yataongezeka in this sub-group..sidhani hao viongozi wa Magufuli wanatumia akili..
 
Tuma mafuta ya parachuti ky yenyewe haifui dafu alafu bei rahis tu 500
Au kama VP mi mi hiko kilainishi ninacho nimetumia kidogo tu leta elfu thelathin chap kwa haraka nikutemee iMind,
 
iMind, Condom sio njia pekee ya uzazi wa mpango.

Tumia njia zingine:
1. Kumwaga nje
2. Kufanya tendo la Ndoa kwenye siku salama(jitahidi mtambue mzunguko wa mwenzi wako)

Hizo ndio njia salama za uzazi wa mpango ila uwe makini sana kuzitekeleza
 
mkuu unashindwa tu kueleza habari ya tube kuzuiwa mpaka unatueleza mkeo mkavu mara una watoto... mara unatumia kondom....
any way wamekusikia wahusika watalifanyia kazi.
 
mkuu unashindwa tu kueleza habari ya tube kuzuiwa mpaka unatueleza mkeo mkavu mara una watoto... mara unatumia kondom....
any way wamekusikia wahusika watalifanyia kazi.
Nimejaribu kueleza mazingira kwa nini nahitaji KY Jelly..otherwise ningeshambuliwa na maneno kwamba na mimi ni muhusika kwenye michezo inayopigwa vita. Ni hivyo tu. Pole kama nimekukwaza.
 
Condom sio njia pekee ya uzazi wa mpango.

Tumia njia zingine:
1. Kumwaga nje
2. Kufanya tendo la Ndoa kwenye siku salama(jitahidi mtambue mzunguko wa mwenzi wako)

Hizo ndio njia salama za uzazi wa mpango ila uwe makini sana kuzitekeleza
Namba moja si njia sahihi. Ni rahisi sana kupata mtoto asiyetarajiwa.

Ya pili siwezi kabisa. Ndo maana nilisema we have active sex life.
 
Namba moja si njia sahihi. Ni rahisi sana kupata mtoto asiyetarajiwa.

Ya pili siwezi kabisa. Ndo maana nilisema we have active sex life.
Ukishindwa kumwaga nje, fanya kwenye siku salama.

Akili unayoitumia kuogopa mimba zisizotarajiwa, itumie pia kukuongoza/kukucontrol ufanye siku za salama.

Kama unaogopa kupata mtoto kisa hijajiandaa kulea, ogopa pia papuchi maana utakuwa hujajiandaa kuila kwa uhuru/utamu unaotakiwa hadi uchome ndani ya mifupa
 
Kwa hiyo wewe una unga mkono uamuzi wa wizara ya afya. Wewe si umeoa juzi tu... Wewe unaweza?
 
Una mtoto wa miaka 12, wewe ni mtu mzima acha kulialia.
 
Kwa hiyo wewe una unga mkono uamuzi wa wizara ya afya. Wewe si umeoa juzi tu... Wewe unaweza?
Kwanza kabisa tambua mimi ni mdau wa Afya(taaluma ya Afya).

Kwa kuwa matumizi ya KY jelly yamevuka mipaka, haina budi kuzipiga marufuku.

Tatizo watu tunakuwa wajuaji, tukipewa kitu kwa matumizi fulani, tunagundua na matumizi ya ziada ya kitu husika. Endapo matumizi ya ziada yakiwa na faida haina budi kupongeza hizi juhudi zenu, ila ikibainika yana madhara haina budi kifaa husika kukatazwa.

Tutumie njia zingine za uzazi wa mpango sio iwe condom pekee
 
Kwa hiyo kwa taaluma yako ya afya unadhani kuwa hatua iliyochukuliwa itaondoa tatizo la ushoga? Au ni ku adhibu wasio husika wakati tatizolikiwa pale pale.

Pili nyie watu wa afya ndo mliotupatia option ya kutumia condom kwa ajili ya kuzuia mimba..kwa hiyo leo mna ikana?
 
Una mtoto wa miaka 12, wewe ni mtu mzima acha kulialia.
Dont take this as personal problem. Nadhani nawakilisha jamii kwa ujumla. Hao vijana wetu watafanyaje...condom ikikauka na utamu umekolea si ndo mwanzo wa kuvua condom na kupiga kavu?

Unafikiri maambuzi ya STI yatakuwaje.
 
Kwa huyu jamaa concern ni family planning, vipi kuhusu wanawake wenye ukavu kwa asili? Au waliovuka menopause? Au "wadau" mmepanga kuwasaidiaje?
 
Nimejaribu kueleza mazingira kwa nini nahitaji KY Jelly..otherwise ningeshambuliwa na maneno kwamba na mimi ni muhusika kwenye michezo inayopigwa vita. Ni hivyo tu. Pole kama nimekukwaza.

Daah ww ni mzee wa kufumua Marinda ya wadada kwani uongo iMind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…