USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,897
- 22,674
Nimeona tangazo la wizara ya afya jinsia wazee na watoto kupitia kitengo chake cha elimu kwa umma likisema uvaaji barakoa kwa sasa sio utashi ni lazima.
Sisi watanzania tulishasahau mambo hizi na tumepambana na waves zote za covid 19 bila haya mabarakoa na sasa mmeanza kutujaza hofu tena
Nimuombe tu rais kama corona ipo iweke nchi lockdown kwa miezi 3 ili tupambane na corona kama kule Kenya ulikokuwa