Wizara ya afya bado hawajatoa post za diploma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya afya bado hawajatoa post za diploma?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Fortunatus James, Sep 18, 2012.

 1. Fortunatus James

  Fortunatus James New Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani ndugu zanguni ningependa kujuzwa kama mtu yeyote ana jua ni lini post za diploma za clinical officer zitarushwa hewani manake mtaani jamani kunachosha wajameni
   
 2. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,433
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Mpaka tar 15 october
   
 3. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa nilivyozipata ijumaa na vyuon mtaanza kwenda tar 8 au 15 oct
   
Loading...