Wizara sita SMZ zafuja Mamilioni............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara sita SMZ zafuja Mamilioni...............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TWALICIOUS, Jun 13, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizara sita zanzibar zimekumbwa na kashfa ya kutumia fedha za umma kinyume na sheria ya fedha ya mwaka 2005 ikiwemo kufanya malipo ya mamilioni ya fedha yasiokuwa na mikataba
  Kashfa hiyo ya matumizi mabaya ya fedha imebainika katika ripoti ya mkaguzi mkuu wahesabu za serikali zanzibar ya mwaka 2008/2009
  ripoti imebaini kuwa malipo sh 413.6milion yamefanyika bila kuwepo mikataba,Wizara zilizotumia fedha bila mikataba ni wizara ya fedha ba uchumi(sh.millioni350),iliyokuwa wizara ya nchi ofisi ya rais Tawala za mikoa na vikosi vya SMZ (sh11.7)milioni wakati shirika la biashara Taifa ZSTC imetumia (31.8milion) na shirika la bima zanzibar ZIC( sh 20milion)
  Aidha rpoti hiyo imegundua kuwa sh 1030 zimetumika bila kuwepo stakabadhi za malipo kitendo ambacho kinyume na taratibu cha kifungu cha 95(4) cha kanuni na matumizi ya fedha ya mwaka 2005
  Wizara zilizoshindwa kuonyesha vielelezo vya matumizi ya fedha hizo ni wizara ya fedha ambao wametumia sh 75.5,iliyo kuwa wizara ya nch Ofisi ya rais Tawala za mikoa na vikosi vya SMZ sh mil 15,Aidha sh millioni14.2 pamoja na dola za kimarekani 35,928 zimetumia bila ya kuwepo vielelezo katika hati za malipo

  Ripoti hiyo imesema kuwa shriika la utalii zanzibar ZTC imegundulika kumetumika dola za marekani 7,471 bila kuweko vielelezo vya matumizi,Kadhalika jumla ya vifaa vyenye thamani ya sh milion 29.2 vimenunuliwa bila ya kuingizwa kwenye daftari la serikali!!!!!!
   
Loading...