Naunga mkono hoja.Huyo aliyetoa ushauri mtandaoni nani kuwa warudi?,wabakie hukohuko wasije tuletea tabu kwa kariakoo yetu tunavyoijua tutaisha,tunawapenda ila wabakie huko kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tunajenga SGR kwa pesa za ndani tutashindwa vipi kujenga hospital ya ku deal na corona virusJamani wabaki uko adi itakapotatuliwa, sipati picha watakapoleta maambukizi uku na hatuna uwezo wa kujenga hospitali ya kuwahudumia...
Bongo bahati mbaya comments ni shida😀
Kuna watu wanafrahisha sana
Naibu Waziri hili Jambo unaonyesha unataniana nalo au unalichukulia kisiasa zaidi.ilitakiwa hadi muda huu uwe umekwisha wasiluana na hao wataalamu wa kitabibu wa kichinaujue hatuaza kuchukuliwa hata Kama waliopo wuhani ni watanzania wawili bado ni watanzania wenzetu.Ukisikia hawa watu wanavyoongea unaweza ukahisi ni watu wenye uwezo fulani wa kiuchumi kumbe ni takataka tu
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Serikali haiwezi kuchukua jukumu la kuwaondoa Watanzania walioko nchini China kwa kusikiliza ushauri wa mitandaoni, bali itawaondoa endapo wataalamu kutoka Serikali ya China watashauri hivyo.
Dkt. Ndumbaro ameyabainisha hayo baada ya kuonekana video fupi inayoonesha Watanzania waishio nchini China, wakiomba kurejeshwa nyumbani kutokana na hali ya maambukizi na vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kuongezeka kila uchwao nchini humo.
"Huu ni ugonjwa na hili ni suala la kitabibu hivyo ni vizuri kupata ushauri wa kitabibu, kwamba imefika wakati sasa hawa lazima waondolewe, sasa hivi tunasikia ushauri wa mitandaoni hapana. Tukae na wataalamu wa Serikali ya China na waseme sasa hapa ni lazima kuwaondoa" amesema Dkt. Damas Ndumbaro.
Unaweza pia kusoma; Hali ya usalama kwa wanafunzi/ Watanzania waishio Wuhan nchini Uchina ipo matatani, waiomba Serikali iwarudishe nchini
Hao tuwatoe sadaka kwa wachina, sisi acha tubaki na kipindupindu chulichokizoeaNchi za Ulaya, America zote wamechukua watu wao.
Waliomba ushauri kwa wachina?
Serikali iseme tu haiwajali wananchi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
NW hamnazoNaibu Waziri hili Jambo unaonyesha unataniana nalo au unalichukulia kisiasa zaidi.ilitakiwa hadi muda huu uwe umekwisha wasiluana na hao wataalamu wa kitabibu wa kichinaujue hatuaza kuchukuliwa hata Kama waliopo wuhani ni watanzania wawili bado ni watanzania wenzetu.
Pili tunasikia hata baloziwa Tanzania nchini china hayuko china alikwisha ondoka huko siku nyingi hivyo watanzania hawajui waongelee wapi Wala waende wapi ndiyo sababu wanatumia mitandao ya kijamii kumpeleka ujumbe .
Tatu, nchi ya Ghana umetuma fedha kuwasaidia waghana waliojifungia ndani kujilinda kuugua,he ukiwa Naibu waziri wa Mambo yanje umeshindwa kuishsuri serikali hata itume Dola 100 tu kuwasaidia wanafunzi hao kupata mlo wa siku?
Mwisho,tambua kuwa akija mtanzania mmoja mgonjwa kutoka china hapa nchini ataambukiza watanzania 55 million ,dawa hatuna,kinga hatuijui,wataalamu hatuna Bora kuwasaidia hao wachache wakiwa huko china ,wakija Tanzania wakiwa wagonjwa kitakuwa Kiama kwa nchi nzima.
Muelezee huyo,mzee anasema tu, mtandao asiudharau ! mitandaoni kuuna vyoote! yaani;Huyo aliyetoa ushauri mtandaoni nani kuwa warudi?,wabakie hukohuko wasije tuletea tabu kwa kariakoo yetu tunavyoijua tutaisha,tunawapenda ila wabakie huko kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app