Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Hii ndio wizara inayobeba dhamana ya Nchi. Waziri katika wizara hii hana tofauti na Waziri Mkuu au Makamu WA Rais, kiutendaji waziri ana kazi nyingi sana tofauti na propaganda zetu.
Hii ndio wizara inayotengeneza nchi iweje na wananchi waiishi mfumo gani katika Taifa.
Longolongo nyingi hapa hakuna, tangu atoke Mh. Sarungi, kumeonesha mapungufu mengi. Tumekuwa wababaishaji zaidi kuliko wahalisia.
Mikakati ya nchi iko hapa na ujenzi WA nchi upo katika wizara hii. Rais wetu na wadau wake waliangalie hili kwa taswira chanya, na sio kwa propaganda.
Wananchi wengine wanaishi kwa kuteswa na kufanyiwa unyama kwa ukimya na mapungufu ya wizara hii.
Naongea haya huku wenye wivu wameshaanza kuwaomba polisi wamtie ndani Deo Kisandu, Mimi wajaribu tu ili tupime nguvu za Mungu na za binadam.
# Rev. Deogratius Kisandu.
25 Desemba 2016.