Wizara Kivuli Utamaduni,Ni SUGU au Kubenea?Yapi maoni yako

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Bunge la 11 linaanza rasmi next week,Ni muda muafaka wa kiongozi wa kambi rasmi bungeni jemedari Freeman kuunda baraza lake kivuli.
Wapo wabunge wawili wanauwezo wa kupambana na Nape kwenye wizara ya Utamaduni na sanaa
Yupo Joseph mbilinyi na Said Kubenea ni watu nawapa nafasi za juu kuongoza wizara hiyo kivuli
Yapi maoni yako Mdau Sugu au Kubenea?Yupi viatu vitamkaaa sawa sawa?
Toa maoni yako hapa Kamanda Mbowe yupo anapitia na atafuata ushauri.
 
Spika kivuli na Rais kivuli ni akina nani?
 
Back
Top Bottom