Wizara itatupatia lini Module mpya za NTA level 5 Clinical medicine?

IamDrSaid

IamDrSaid

Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
5
Likes
1
Points
5
Age
22
IamDrSaid

IamDrSaid

Member
Joined Nov 20, 2016
5 1 5
Tumepata Taarifa Ya Kubadilishwa Kwa Curriculum Ya NTA Level 5 Clinical Medicine Lakini Mpaka Leo Hatujapatiwa Module Mpya Tunaendelea na za zamani
Hivi ni Lini Wizara itatupatia??????
 
mzama chumvini

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Messages
728
Likes
621
Points
180
mzama chumvini

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2016
728 621 180
Unataka Module Mpya? Ya Somo Gan?? Maana HatujaChange Module Ila Tumefanya Combination Ya Subject!!! Ina Maana Badala Ya Somo La Enterpreneur Kujitegemea Tumewaongezea !!! Sasa Litakuwa Resource Management And Entrepreneurship! Ushaur Wangu Kaza Sana Kijana Msuli Wa CO Na CA sasa Hivi Sio Lelemama Ukipata Sup 2 Kwenu!!!
 
Dennis002

Dennis002

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Messages
142
Likes
35
Points
45
Dennis002

Dennis002

Senior Member
Joined Aug 18, 2014
142 35 45
Unataka Module Mpya? Ya Somo Gan?? Maana HatujaChange Module Ila Tumefanya Combination Ya Subject!!! Ina Maana Badala Ya Somo La Enterpreneur Kujitegemea Tumewaongezea !!! Sasa Litakuwa Resource Management And Entrepreneurship! Ushaur Wangu Kaza Sana Kijana Msuli Wa CO Na CA sasa Hivi Sio Lelemama Ukipata Sup 2 Kwenu!!!
Mbona curriculum imeandikwa ukipata chini ya 50% hata module moja unarudia mwaka upya mnatuchanganya hatuwaelewi....CO KAM college
 
Forum statistics

Threads 1,275,109
Members 490,908
Posts 30,532,856