Wizara haziko makini kuchapisha ripoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara haziko makini kuchapisha ripoti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Jul 15, 2009.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Nimesoma magazeti matatu jana,Daily News,Nipashe na Mwananchi. Kulikuwa na taarifa kwamba Waziri fulani alitoa makadirio ya fedha ya wizara yake,lakini hotuba kamili haikuwepo katika gazeti lolote.
  Wabunge wanaweza vipi kuongea Dodoma bila kuwashirikisha waandishi wa habari?kwa radio,TV na magazeti.
   
Loading...