Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
Mtakatifu hiyo ni TICTS, siyo TICS. Tanzania International Container Terminal Services ltd. Nipe ahsante yangu.
Mtakatifu hiyo ni TICTS, siyo TICS. Tanzania International Container Terminal Services ltd. Nipe ahsante yangu.
Hiyo nayo ni hoja Mkuu Saint Ivuga!
Nakumbuka hili suala la TICTS, liliishia kwa zengwe tu tukaambiwa lipo kwenye baraza la mawaziri hivyo umma usipige kelele...
Labda JK kasahau? Labda ni kisa cha nani amvishe paka kengere?? Labda JK amemu-underestimate Mwakyembe??
Ila binafsi bandarini sina kwere napo sana, naona kama urekebishaji wake upo dhahiri sana.
Ngoma ngumu ni ATC, TAZARA na TRC....
Hapo ndio masikio yangu nimetega sana!
jouneGwaluMkuu
hawa watu hawaeleweki kabisa,Kama uadui ungekwepo basi wakati ule
iliposemekana amewekewa
sumu basi angesema ukweli halisi,kama wakati ule aliogopa we unadhani
ataweza kuchimbua madudu hayo?
Ila kwa upande mwingine nimeona kama kambi moja unaongezewa nguvu na
lingine linadhoofishwa.
kweli hapaa no jipya at all.jouneGwaluMkuu hawa watu hawaeleweki kabisa,Kama uadui ungekwepo basi wakati ule iliposemekana amewekewa
sumu basi angesema ukweli halisi,kama wakati ule aliogopa we unadhani ataweza kuchimbua madudu hayo?
Ila kwa upande mwingine nimeona kama kambi moja unaongezewa nguvu na lingine linadhoofishwa.
Asante ndugu yangu hizi haraka haraka hizi mkuu wangu ngoja nirekebishe, na hizi chemba zao zimekuwa nyingi mkuu wangu kuzijua zote vizuri inakuwa ni issue
Bandari hoi, reli hoi, ndege hoi!
Pole sana Mwakyembe!
Unajuwa huyu jamaa tangu aanze kujiita Saint Ivuga na kubadili ile Avatar yake yake ya Simba Sc, naona kama kama hii ID amemkabidhi mtu mwingine, si yule ambaye nilikuwa namjuwa kama Ivuga teja la JF. Ila leo naona amekuja kivingine kama wakati ule.Mtakatifu hiyo ni TICTS, siyo TICS. Tanzania International Container Terminal Services ltd. Nipe ahsante yangu.