Wivu wa mapenzi (kwa wanawake tu)

Wivu wa mapenzi (kwa wanawake tu)

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,236
Wakina dada,

Nasikia wanawake mnapenda sana na mnajisikia sana pale wapenzi wenu wanapowaonea wivu. Nimesikia kwamba wivu unakupa confidence kwamba jamaa anakupenda na amezimia mzigo hasa.

Hivi, ni mambo gani ambayo mwanaume akifanya/akikwambia utajua kwamba anakuonea wivu na anakupenda?
 
Back
Top Bottom