Wivu noma

The Professor

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
2,223
Reaction score
4,588
jamaa 1 kaenda duka la madawa
muuzaji > karibu nikusaidie nn
jamaa > naomba dawa za kutuliza maumivi
muuzaji > kwani unasumbuliwa na nn
jamaa > kuna jirani yangu kanunua ka bodaboda ka roho kaniniumaa kweli
 
Wabongo nuksi tupu. Hata ukinunua kandambili tu ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…