Wivu ni kidonda

Ukweli ni kwamba housemaid wenu anampenda huyo jirani yako. Ila ww ameshindwa kukukataa kwa vile ni mtoto wa boss wake,maana mkikataliwa mnaanzishaga visa ndani ya nyumba.

Hakupendi acha kumuonea.
 
Unatuambia utadhani tunammendea huyo housegirl wako.
Mwambie huyo jirani yako.
 
kweli wivu kidonda ukishiliki utakonda ..... endelea kula kwa macho

Tatizo hata home kama wanamchunga sana mda wote mama yupo ndani tu asisikie mlango umefunguliwa huyo katoka chumbani na kuita (jina la housemaid)
 
Wakati wa kukua lazma uanze na puli kwanza. Acha kuruka stage utaumia
 
Sasa si ujieleze kwa huyo binti ili akikukubali uwe na wivu halali manake huo wivu ulionao ni wivu usio halali labda jirani ndo anapiga mzigo hapo harafu we unaweka wivu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…