Wivu hauna maana

Wivu hauna maana

Sazira kwetu

Senior Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
155
Reaction score
104
Habari za wakati huu wana jukwaa?

Kama mada ilivyohapo juu inajieleza,napenda tupeane uzoefu juu ya hili swala la wivu ni kitu gani.Maana unakuta mtu amemfuma mke wake au mme wake na mwanaume au mwanamke mwingine basi atachukia na hata kuamua kuua au kujeruhi mgoni wake, swali la kujiuliza Je ni kipi kimepotea katika maisha yako ambachohutakipata ktk maisha yako yote mpaka uamue kuua au kujeruhi?Lakini pia wengine huamua kutooa au kutoolewa tena,swali kipi hasa ambacho kinakufanya uwe na chuki ya milele?

Wengine husema ile raha ya tendo wakiikumbuka ndio huwafanya wapate maumivu au wivu lakini ukweli sio huo kwa maana hata wachumba ambao hufuata taratibu za kidini za bila kugusana kimwili mpaka hapo watakapo ingia ktk ndoa nao hupata maumivu yaleyale iwapo tu mmoja wao atakaposaliti uchumba wao,swali Je mapenzi huadhiri nini zaidi ktk ubongo wa mwanadam mpaka awe na wivu?

Sina majibu ya maswali hayo na wale wenye majibu yawe ya kisaikolojia au kidini atusaidie huenda inaweza ikasaidia kuchukua tahadhari kabla.
 
Duniani kungekuwa raha sana kama swala la kugongeana lingekuwa ni kitu cha kawaida tu..
 
Ndo tumeumbwa hivyo jombaa...ukiona huna wivu wewe sio binadamu kamili
 
Ndo tumeumbwa hivyo jombaa...ukiona huna wivu wewe sio binadamu kamili

Unasema tumeumbiwa sawa,je ni nini hasa huwa kinapotea na kumfanya binadam aadhirike kisaikolojia ili hari kitu hicho umaweza kipata wakati wowote na mahali popote?
 
vitu vingi unaweza share na marafiki zako wapenzi lakini mke au mume ni ngumu sana share inauma sana aiseee
 
Wew ujajua maaan ya kupend nn! Kunasababu gan ya kuoa au kuolwa kam unajua unamatabia yak ya kishenz fany mauchaf yako ukishona unawez kitulia na mmja ndo uowe maswal ya kubadilish kam chip now days hakunag
 
vitu vingi unaweza share na marafiki zako wapenzi lakini mke au mume ni ngumu sana share inauma sana aiseee

Mkuu pilato,tujiulize mim na wengine kipi hasa kinauma ambacho kinasababisha maumivu ili hari kitu hicho waweza kitumia hata kama kitatumiwa na watu wengine?
 
Wew ujajua maaan ya kupend nn! Kunasababu gan ya kuoa au kuolwa kam unajua unamatabia yak ya kishenz fany mauchaf yako ukishona unawez kitulia na mmja ndo uowe maswal ya kubadilish kam chip now days hakunag

Mkuu mada inasema wivu hauna maana na inahoji au inataka mwenye kujua yale maaumivu husababishwa na nini ili hari unaweza pata kitu hicho kwa mtu mwingine? mfano mme wako umpendae anaweza akawa na mchepuko pembeni akawa anatembea nae na akija kwako unapata huduma kama kawa,ila kitendo cha wewe kujua anamchepuko basi maumivu huwepo,je wivu ni nini sasa?
 
Haha. You serious bro? Unaweza vumilia manzi wako akifahamiana na boya mwingine?

Teh teh..Siwezi bro..Ndo nasema tungepewa mioyo hiyo ingekuwa poa..

Yani huko sitting room na wife wako unamsimulia jana ulivyomgegeda mwajuma na wala hakasiriki..
Na kama kuna vitu vipya umeviona kwa mwajuma unamfundisha wife..
 
Hasilimia 78 ya vijan walie pevuk hua wanawaz mapnz ndio maan unakut kikitoke kit kam ich wat wanaathirka san
 
Teh teh..Siwezi bro..Ndo nasema tungepewa mioyo hiyo ingekuwa poa..

Yani huko sitting room na wife wako unamsimulia jana ulivyomgegeda mwajuma na wala hakasiriki..
Na kama kuna vitu vipya umeviona kwa mwajuma unamfundisha wife..
Haha. Noma. Manzi wangu nikimwambia siko home naingia mtaani, ni maswali tu 'utarudi home saa ngapi?'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom