Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
mgao huu unaondelea kimyakimya unaathirisana shughuli na maisdha ya kila siku ya watanzania.viwanda vinafungwa.mama ntilie wanshindw akupika saluni nazo zinafungwa na kila aina ya shughuli inayotumia au kuitegema umeme inaathiriwa kwa viwango vya kutisha.hali hii si salama kwa maisha na usalama wa nchi yetu.ni pendekezo langui kuwa paitishwe maandamno makubwa ya kuupinga huu mgao na kuwataka walioshindwa kuudhibiti waondoke kwenye ofisi za umma haraka.