WITO: Watanzania turudi vijijini

WITO: Watanzania turudi vijijini

nilivyoelewa mleta mada anatuambia tuwe tunaenda mara kwa mara na kutoa elimu kwa ndugu zetu huko Sio lazima tuhamie huko.
Una uelewa "makengeza",kurudi na kutembelea ni vitu viwili tofauti.
 
Haya tutarudi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haki ya Mungu kama kuna mtu kijijini kwetu atashabikia CCM kunako 2015 basi huyo ni gendaheka, maana kule nimewalisha ndugu zangu pamoja na wakazi wa pale habari kamili jinsi hii nchi inavyoharibiwa na CCM. Nikawapa mifano iliyo hai ya kuwa toka tumepata uhuru sasa ni miaka 50, CCM imefanya nini pale kijijini na si pale tu bali nchi nzima. Watu walifunguka macho na kunibeba, wazee wa pale nyumbani waliniomba nigombee udiwani au hata ubunge na wakanihakikishia kunibeba kwa gharama zozote zile. Wakanitemea mate kichwani kunibariki na kunitakasa dhidi ya laana za CCM, hivyo hapa nipo ngangari kusubiri uchaguzi kunako 2015 na safu yangu ya mawaziri tayari nimeshaipanga, huku waziri wangu wa afya akitokea hapa hapa JF.

duh...
 
Back
Top Bottom