Hakuna maridhiano we huoni mnaharibu mashamba ya wapinzani? Kumbukeni kulipia yote haya tukiingia madarakani mtatukoma fisiem ..
Yuko wapi Ben saananeIli taifa liwe kitu kimoja katika vita hii ya kiuchumi napendekeza yafanyike maridhiano yatakayotoa fursa kwa wanasiasa kutoka vyama vyote kukaa meza moja ili yafanyike makubaliano ya nini kifanyike ili kuhitimisha miongo miwili ya kutofautiana ktk mambo ya msingi ya kitaifa.
Ni dhahiri kwa sasa kujaribu kumshambulia rais aliyepo %90 ya watanzania hawatakuelewa. Lakini rais ana fursa ya kufanya vizuri zaidi ya hapo. Awaite wapinzani akae nao meza moja ili kuwa na kauli moja juu ya maswala ya msingi ya kitaifa hasa kiuchumi. Kitakachojili ktk mijadala yao iwe faraja kwa watanzania.
Waweke siasa pembeni, Rais hana roho mbaya km baadhi ya watu wanavoweza kumfikiria. Si ajabu mtu km Tundu Lissu akawa ktk nafas muhimu kabisa ya chaguo lake ili twende kwa kasi.
Ktk siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
Dhamira ya Rais ni njema na kila mtu anajua, kama kuna mapungufu ni kwa kuwa pia si malaika.
Lowassa anajua.
Tundu Lissu ukiitwa mezani please be possitive mliokoe hili taifa
We ntakukumbusha 2020Ukiingia wewe na nani..
Mpelekee maoni haya uliyoandika Prof. Safari ukajidharau mwenyewe..Watu wanaolipwa kuhakikisha unafeli,unaridhia nao nini?
Too late waendelee tu kuwalia hela zao.
Kama ni maridhiano yatafanyika kati ya serikali na mwenye mbwa.
No negotiations with running dogs.
Tuonane 2020 kisha utakuja na hadithi za "wizi wa kufuru wa kura" sababu utakuwa umebwagwa vibaya..We ntakukumbusha 2020
. Wakat hata buku 7 limekata
Mpelekee maoni haya uliyoandika Prof. Safari ukajidharau mwenyewe..
Mtaingia lini na kwa upinzani upi?Hakuna maridhiano we huoni mnaharibu mashamba ya wapinzani? Kumbukeni kulipia yote haya tukiingia madarakani mtatukoma fisiem ..
Things can change more than the way you think si lazima maadui wabaki kuwa maaduiHivi kosa LA Tundu Lisu ni lipi? mbona mmemuandama sana!
Halafu unasema tukae mezani na nani?
Kama na huyu anayesema wapinzani wafukuzwe bungeni na wala wasitembeleane magerezani basi sahau.
Ameshajiwekea kichwani kuwa Upinzani ni uadui na haukustahili kuwapo.
Na anaona kama ndio wanaomkwamisha Kumbe anajikwamisha mwenyewe kwa kujiwekea mitizamo hasi dhidi ya wale wanamchallenge.
Mimi sijui, labda kwenye makontena ya makinikia, wewe unajua?Yuko wapi Ben saanane
rais mwenyewe ndo huyo mbaguzi mkubwa, anaongea kingine anafanya kingine. CCM aliyewaroga amekufa na antidot
kwa rais huyu anayemwagiza spika wa bunge awatimue wapinzani bungeni???
Wa fisiemMtaingia lini na kwa upinzani upi?
Unadhani nini kifanyike ili jambo hili lifanikiwe ndugu..