Wito: UVCCM tuungane katika hili

Thread starter:unanikumbusha zamani sana wakati tunajifunza kuongea kinyume km kaba utasema nini vile? sitaki kwenda mbali tatizo letu kubwa ni katiba japo hata katiba iliyopo km inavunjwa ni shida,uongozi ni dhamana anatakiwa mtu mwenye busara na utulivu
 
Mleta mada amesema kweli. Kuna uhuru wa habari sasa hivi kuliko wakati wote na kuliko mataifa yote. Magazeti yanaweza kukosoa bila shida, tunaweza kuandika kuwa hakuna dawa, hakuna sukari, kuna njaa, kuna zika na kadhalika na serikali ikachukua hatua sahihi kwa kutumia taarifa hizo. Kwani magazeti ni njia moja rahisi za kutaarifu watu.
Wapenzani wameruhusiwa kuongea hadharani na bunge iko live.
Hii kama siyo democrasia ni nini.
Sijui wapinzani na raia wengi kwa nini bado wanadai democrasia.
Hekomleta mada
 
Huyu kaandika kinyume nilikua sijamuelewa sasa nimemusoma
 
Ni dalili ya Akili ndogo.
Kupinga kila kitu kwa kusema hapana na si kutoa hoja na sababu kwanini hapana.
 
Rafiki yangu Alexism umenisikitisha sana mkuu. TUMIA AKILI CO MANANII YA NYUMA YA KUKALIA.
 
Jamani tumuunge mkono rais hamna njaa na Demokrasia imetamalaki pia ajira nje nje....UVCCM ni wajibu kumshangalie mkuu
 
Unajitahidi sana mleta mada uko sahihi kwa akili zenu uvccm kupinga ukweli ila mjue watanzania wanajua Hali halisi
 
Mkuu, Alexism, nashindwa kuungana na wewe kusema hakuna njaa wakati nusu na robo ya waliochangia humu wameshindwa kung'amua ulichomaanisha kutokana na kutokula chakula.
Hakika njaa ipo.
 
Pinga basi maana unategemea Watanzania ni wapumbavu kama wewe au unatichukuliaje Watanzania.?? Kama.unataka vyeo nenda Ikulu ukaombe usileye upumbavu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…