Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.
Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.
Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.
TANZANIA:Nakupenda sana.
Mkuu mtu wenu si nimekwambia angalia sasa matusi hii ndio sera yao Matusi Kashfa ndio walivyofundishwa na Slaa
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.
Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.
Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.
TANZANIA:Nakupenda sana.
Tumekosoa kwa kusema bayana, yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania? viko wapi viwanda vya tanzania, rites walitupatia faida kiasi gani tulipowabinafsishia reli yetu ambayo wengi tuliukataa mpango huo!!!! Ni nini ANBEN, kiwira kilirudishwa serikalini baada ya kupewa nani!!! twiga walipandaje ndege pale kia, imekwenda wapi NMC yetu, tunalia machozi kiwanda chetu cha kusafishia mafuta (tipper) hatunacho tena, general tire kwishney, Nembo ya twiga mnyoge kwenye ndege zetu za ATC imebaki simulizi, wapi sukita, vijiji vya ujamaa vilivyotugharimu sana kuvianzisha vinagawiwa wazi eti wawekezaji, nchini kwetu kuna machimbo ya dhahabu mengi sana lakini benki kuu hatuna hata gramu moja ya dhahabu, tanzanite si yetu ingawa inapatikana tanzania pekee, tumewamaliza faru, jk ananunua faru nje ya nchi kisha anamuwinda kijangili, epa, richmond, iptl, simbion,
msszzhzs, muone kichwa kama mkukuta, mimacho imekutoka kama mkurabita!!!
ukosawa mimi nakuunga mkono, waache ushabiki wakuishabikia tu chadema badalayake wa angalie vitu vyamsigi ambavyo chadema wanavifanya kwa maslahi ya taifa letu na kuangalia wapi ambapo chadema wanakwenda kinyume nasela ya katiba ya nchi... pia kuwashauri pale wanapokosea nasi kushabikia tu.... hiyo ndiyo itakayoleta heshima kubwa kwa chadema katika kupambana na changamoto za uchaguzi huo ujao wa mwaka 2015... kila laheli chadema epkeni kushabikia migogolo isiyokuwa na msingi bali muwe chombo cha usuruhishi wa migogolo katika nchi yetu Tanzania.Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.
Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.
Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.
TANZANIA:Nakupenda sana.
imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno chadema.hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo chadema itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.
Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana chadema.
Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.nawasihi mashabiki wa chadema ni bora wakajiondoa chadema na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo chadema itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.
Tanzania:nakupenda sana.
ukosawa mimi nakuunga mkono, waache ushabiki wakuishabikia tu chadema badalayake wa angalie vitu vyamsigi ambavyo chadema wanavifanya kwa maslahi ya taifa letu na kuangalia wapi ambapo chadema wanakwenda kinyume nasela ya katiba ya nchi... pia kuwashauri pale wanapokosea nasi kushabikia tu.... hiyo ndiyo itakayoleta heshima kubwa kwa chadema katika kupambana na changamoto za uchaguzi huo ujao wa mwaka 2015... kila laheli chadema epkeni kushabikia migogolo isiyokuwa na msingi bali muwe chombo cha usuruhishi wa migogolo katika nchi yetu Tanzania.
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.
Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.
Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.
TANZANIA:Nakupenda sana.
Tulikwisha chelewa kuwashauri vijana. sasa hivi, is too late. Vijana hawaambiliki, wala hawashauriki juu ya chama chao. Nakushauri, usioweza kuukata, ulambe. Hakuna jinsi, jiunge nao. hata kama hupendi, jilazimishe upende, ili usiumize roho yako,
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.
Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.
Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.
TANZANIA:Nakupenda sana.
Hapo blue, kosa gani hilo - lisilo sahihika?Umesema kweli!
Hata wakati wa kudai uhuru hali ilikuwa hivihivi!
Chama kimoja(TANU) kilikubalika mno na watanganyika kwa matarajio ya kuleta ukombozi.
Lakini,kuna kosa lilifanyika,kuamini mno viongozi wa TANU kama malaika vile!
Hali hii ndio imefanya CCM kutufikisha hapa ilipo tufikisha.
CHADEMA naona kosa lilelile linataka kufanyika.