WITO: Seif, Lowassa na Wassira pumzikeni siasa

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Umri wenu kwenye siasa umetosha ni muda muafaka mkawapisha wengine kwenye nafasi za uongozi wenye umri wa kiasi Na damu Changa wasiozidi miaka 65 hususan uchaguzi ujao mwaka 2020.

Naanini mtaheshimika sana mkitangaza nia zenu mapema kuwa mnastaafu siasa na kubaki kushauri.

Kinyume chake ni Ubinafsi na Tamaa.
 
Makongoro alisema msamiati wa kustaaafu haupo kwa Mzee Wasira..unastaafu unaenda wapi? Enzi ya nyerere,YUPO, akaja mwinnyi YUPO, mwinyi akamwachia mkapa mzee YUPO, mkapa kampa kikwete..YUPO..kikwete akamwachia magufuli YUPO anadai haki yake ya ubnge mahakamani sasa ili aendelee KUWEPO
 
Kuna sehemu inakuwasha ila hujapata mkunaji
 
Umri wenu kwenye siasa umetosha ni muda muafaka mkawapisha wengine kwenye nafasi za uongozi wenye umri wa kiasi Na damu Changa wasiozidi miaka 65 hususan uchaguzi ujao mwaka 2020.

Naanini mtaheshimika sana mkitangaza nia zenu mapema kuwa mnastaafu siasa na kubaki kushauri.

Kinyume chake ni Ubinafsi na Tamaa.

Wewe ni nani kuwaamulia matakwa yao? Na hapo umewalenga Lowasa na Maalim huyu mwingine wa kwenu umemuingiza kinafiki tu. Maccm fanyeni ya kwenu watanzania siyo wajinga watachagua wanayemtaka,
 
Nnachokumbuka ni kwamba mamvi alituahidi kwamba akishindwa uchaguzi mkuu angeenda kuchunga ng'ombe......tuanzie hapa kwanza, ahadi hii ameitekeleza??.
 
Makongoro alisema msamiati wa kustaaafu haupo kwa Mzee Wasira..unastaafu unaenda wapi? Enzi ya nyerere,YUPO, akaja mwinnyi YUPO, mwinyi akamwachia mkapa mzee YUPO, mkapa kampa kikwete..YUPO..kikwete akamwachia magufuli YUPO anadai haki yake ya ubnge mahakamani sasa ili aendelee KUWEPO
IMG-20161122-WA0000.jpg

Hilo koti sasa.....
Huyu mzee ni vere denjaras...
 
Back
Top Bottom