Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,052
- 285,656
- Thread starter
- #21
Uko nje ya madaKuna maeneo CHADEMA mnazinguaga na mnafanya wengine tusite kuwaunga mkono. Kesho mtawapigia magoti kina Halima Mdee?
Uko nje ya madaKuna maeneo CHADEMA mnazinguaga na mnafanya wengine tusite kuwaunga mkono. Kesho mtawapigia magoti kina Halima Mdee?
Hongereni kwa kilimo cha mihogo huko Mbutu
Hongereni kwa kilimo cha mihogo huko Mbutu
Kwanini mjikombe kwa wasaliti ilhali kuna vijana machachali damu changa wasio na tamaa.?!Chama ni watu
NdioKubenea zingatia huo wito.. Siongei sana! Ila zingatia
Kuna kitu hujuiHiyo ndio shida yenu Chadema kulamba matapishi. Mtu kajiondokea mnambembeleza arudi..!!
Warudisheni wote basi ili wananchi waache kuwaunga mkono vizuri..!!
Kuna jambo hulifahamuKwanini mjikombe kwa wasaliti ilhali kuna vijana machachali damu changa wasio na tamaa.?!
Chama kijikite ku recruit vijana wajengwe na kupikwa vizuri kwa matumizi ya baadae.
Hao akina Kubenea & the like, ni wachumia tumbo tu zaidi ya kujineemesha wao na familia zao kwa uroho wa madaraka.
SwadaktaHuu ndio wito wangu ninaouleta kwako Leo hii, Tafakari halafu chukua hatua
Unaweza kunipigia kwenye Ile Ile namba yangu, Asante.