Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,351
- 271,750
Huu ndio wito wangu ninaouleta kwako Leo hii, Tafakari halafu chukua hatua
Unaweza kunipigia kwenye Ile Ile namba yangu, Asante.
Unaweza kunipigia kwenye Ile Ile namba yangu, Asante.
Usiogope"Unaweza kunipigia kwenye Ile Ile namba yangu, Asante."
🤔🤔🤔
Huwa sinaga tabia ya uoga mkuuUsiogope
nafahamiana n.a. Kubenea muda mrefu ndani n.a. nje ya ChademaHuwa sinaga tabia ya uoga mkuu
kuchangia chamaMkuu Erythrocyte huyu kubenea ana impact gani ndani ya CHADEMA mpaka umsihi arudi?
Chama ni watuMkuu Erythrocyte huyu kubenea ana impact gani ndani ya CHADEMA mpaka umsihi arudi?
AmenKubenea zingatia huo wito.. Siongei sana! Ila zingatia
Achaneni na wasaliti. Tafuteni nguvu mpya. Gen Z ndiyo habari ya dunia kwa sasa. Hao wachumia tumbo hawafai kwa kujenga Chama imara chenye watu jasiri, wasiokubali kuyumbishwa hata katika mazingira magumuChama ni watu
Ndio Maana sikumwita YerrickoAchaneni na wasaliti. Tafuteni nguvu mpya. Gen Z ndiyo habari ya dunia kwa sasa. Hao wachumia tumbo hawafai kwa kujenga Chama imara chenye watu jasiri, wasiokubali kuyumbishwa hata katika mazingira magumu
Na huko akiendelea kubaki ni sawa na sifuri,amufuate tu bwega atapotea sqna kwa kukaa na yule dalali kwa kigezo cha diniChama ni watu
Hauoni tangu ajitoe Chadema polisi wameachana nae, akirudi tu usiku polisi watavunja mlango wa nyumba yake.Huu ndio wito wangu ninaouleta kwako Leo hii, Tafakari halafu chukua hatua
Unaweza kunipigia kwenye Ile Ile namba yangu, Asante.