samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,817 Jul 23, 2015 #2 Kisa na mkasa? Au ndio wafuasi wa Ayatoullah hao?
kalambo one Member Joined May 16, 2015 Posts 46 Reaction score 12 Jul 23, 2015 #3 Hiyo ya zamani sana mkuu
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,992 Jul 23, 2015 #4 Picha ya mwaka juzi unatuletea leo.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,591 Jul 23, 2015 #5 Amavubi said: View attachment 270356 Click to expand... Alienda halafu akapokelewa na maua badala ya mapanga
Amavubi said: View attachment 270356 Click to expand... Alienda halafu akapokelewa na maua badala ya mapanga
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Jul 23, 2015 #6 Amavubi said: View attachment 270356 Click to expand... Bango limeandikwa na wahuni wa Zitto kwani kigoma ni nchi ?
Amavubi said: View attachment 270356 Click to expand... Bango limeandikwa na wahuni wa Zitto kwani kigoma ni nchi ?
M Makaramu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 277 Reaction score 64 Jul 23, 2015 #7 Wapumbavu tu hao,,, wameuwa wangapi? Ujinga tu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jul 23, 2015 Thread starter #8 ndio nimeifukunyua leo, kwenu ya zamani kwangu mupyaaaa lakini nashukuru kunijuza
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jul 23, 2015 Thread starter #9 mshana jr said: Alienda halafu akapokelewa na maua badala ya mapanga Click to expand... umechangia kwa busara sana
mshana jr said: Alienda halafu akapokelewa na maua badala ya mapanga Click to expand... umechangia kwa busara sana
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jul 23, 2015 Thread starter #10 kalambo one said: Hiyo ya zamani sana mkuu Click to expand... mnisamehe bure ndio nimegongana nayo leo na dhamiri yangu haikunipeleka huko kwamba ni ya zamani
kalambo one said: Hiyo ya zamani sana mkuu Click to expand... mnisamehe bure ndio nimegongana nayo leo na dhamiri yangu haikunipeleka huko kwamba ni ya zamani
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Jul 23, 2015 #11 Amavubi said: mnisamehe bure ndio nimegongana nayo leo na dhamiri yangu haikunipeleka huko kwamba ni ya zamani Click to expand... Wewe utakuwa chizi kama huyo aliyeandika hilo bango
Amavubi said: mnisamehe bure ndio nimegongana nayo leo na dhamiri yangu haikunipeleka huko kwamba ni ya zamani Click to expand... Wewe utakuwa chizi kama huyo aliyeandika hilo bango
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Jul 23, 2015 #12 Amavubi said: mnisamehe bure ndio nimegongana nayo leo na dhamiri yangu haikunipeleka huko kwamba ni ya zamani Click to expand... dhamiri-dhamira
Amavubi said: mnisamehe bure ndio nimegongana nayo leo na dhamiri yangu haikunipeleka huko kwamba ni ya zamani Click to expand... dhamiri-dhamira
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,374 Reaction score 3,972 Jul 23, 2015 #13 Poro hili
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jul 23, 2015 Thread starter #14 Emma. said: Wewe utakuwa chizi kama huyo aliyeandika hilo bango Click to expand... makuacha kama ulivyo niache na uchizi wangu
Emma. said: Wewe utakuwa chizi kama huyo aliyeandika hilo bango Click to expand... makuacha kama ulivyo niache na uchizi wangu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jul 23, 2015 Thread starter #15 Emma. said: dhamiri-dhamira Click to expand... Dhamiri ni kipawa cha binadamu kinachomwezesha kuamua kuhusu uadilifu au uovu wa tendo fulani analolikabili au alilolitenda.
Emma. said: dhamiri-dhamira Click to expand... Dhamiri ni kipawa cha binadamu kinachomwezesha kuamua kuhusu uadilifu au uovu wa tendo fulani analolikabili au alilolitenda.