nimejifunza kitu kimpya kidogoMwanamke akijisikia kupendwa na ww, anakuwa na uwezo extra wa kukutumikia na kukuamini. Mnapokosea ni pale mnapodhani nyie ndio wa kupendwa.
Kubadili tabia ya mwanamke, muonyeshe kumpenda na kumjali. Mengine yooote mtaongezewa
Kweli kabisa mkuu wengine hawajui wanataka nini....kila wanachokiona mble wanakitaka hawana vision ya maisha wamebaki kutangatanga tuBottom line wanawake hawafanani...
kuna wanawake waliopewa malezi mazuri
kuna waliokosa malezi
kuna walioenda shule
kuna ambao shule hawakupita
kuna wenye iq kubwa
kuna wa low iq
kuna wanawake wa kila namna.....
daah....... aise ni kweliKumili hisia za mwanamke asilimia zote wakati wote ni kazi sana... Leo anakupenda kesho anakuchukia... leo anakuhurumia kesho anakukomoa... leo anakupa kesho anakunyima... leo anakusema na kukushushua kesho anakusifia na kukutukuza...
Cha muhimu ukipata muda wa amani nae uutumie vizuri... kwani kesho siyo wako tena.