Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

waache kusoma waende kwenye kampeni, mtawapa nauli? au huohuo mkopo ndo watumie kufanya kampeni, wadanganye watadisco.

Watakua likizo mkuu CCM ndo paka mlipwe ndo mfanye
 
Wanatakiwa wanafunz watengeneze umoja alafu wafanye maandamano kila shule au chuo ambacho/ambazo awajajiandikisha! tanzania nzima uku wakitoa idadi yao kupitia mitandao na media ili tujue ni wangap awajajiandikisha! wala mcjaali mtapewa support na cc ambao ni ukawa!!

Wewe un watoto wangapi uko mashuleni? Usidanganye watoto wetu ili wavunjwe miguu na kupoteza maisha katangulize wa kwako, kaka na dada zako kwanza tuone matokeo ndo twakwetu wajifunze ukomandoo wenu
 
Tumia akili yko..mimi binafsi kama msomi siwezi hatarisha maisha yngu kwaajili ya siasa.tena hasa hasa kwa chama cha upinzani ambacho wako mstari wa mbele kutetea mafisadi..kaa chini ufikirie.laiti lowassa angechaguliwa kua mgombea kupitia ccm ina maana maswala yote ya richmond asingeyaweka wazi..ni wazi kua lengo lake ni kuuingia ikulu tu hata iiweje..mi nlkua mpinzani viongozi wa upinzani wamenisiktisha ..ni wazi agenda yao ilikua kuingia ikulu tu..swali lngu kwa lowassa kama kweli yeye ni mcha Mungu anavosema,, iweje akae kimya kwa miaka takribani saba kuhusu maovu yaliyofanyika na mabilioni yalioibiwa...huu ni unafiki..uchu wa madaraka ndo unawaongoza viongozi wa ukawa...na kama kweli walikua na nia ya dhati ya kumkomboa mtanzania wangebaki na watu wao maana ni dhahiri walikua na nguvu ya kutosha kupambana na mafisadi ya ccm ..ila kuwakaribisha kwao 'makapi' ya ccm.ni wazi kua hawana lolote maana ni hayo hayo makapi yalionyamazia wizi kwa siku nyingi na baada ya kuona maslahi yao hayasikilizwi yameamua kutafuta chao mahali pengine.....itazameni kama kukua kwa demokrasia ila hii ni kusoma upepo ,,makapi ya ccm yamesoma upepo na yanakuja kwa wingi.....na kwa kauli za raisi kikwete hayuko tayari kumpa upinzani nchi..yasije yakatokea ya kenya watu walikufa na bado raisi akabaki yuleyule.serikali ya mseto ikafanya hovyo..na bdae chama kingine cha upinzani kilichojizatiti kikachukua madaraka...
Oktoba 25 itakua ndo mwisho wa upinzani imara .
 
Mimi kama mwanachuo ziwezi kuunga mkono upuuzi wa upinzani wapi Dr.slaa ningesubutu hata kujaribu kuwashawishi wananchi lakini kwa huyo mmmmmh hapana
 
ndio akili zenu hizi kweli wasomi??? Au ndio madhara ya vitabu vya nyambari nyangwine?
 
Tumia akili yko..mimi binafsi kama msomi siwezi hatarisha maisha yngu kwaajili ya siasa.tena hasa hasa kwa chama cha upinzani ambacho wako mstari wa mbele kutetea mafisadi..kaa chini ufikirie.laiti lowassa angechaguliwa kua mgombea kupitia ccm ina maana maswala yote ya richmond asingeyaweka wazi..ni wazi kua lengo lake ni kuuingia ikulu tu hata iiweje..mi nlkua mpinzani viongozi wa upinzani wamenisiktisha ..ni wazi agenda yao ilikua kuingia ikulu tu..swali lngu kwa lowassa kama kweli yeye ni mcha Mungu anavosema,, iweje akae kimya kwa miaka takribani saba kuhusu maovu yaliyofanyika na mabilioni yalioibiwa...huu ni unafiki..uchu wa madaraka ndo unawaongoza viongozi wa ukawa...na kama kweli walikua na nia ya dhati ya kumkomboa mtanzania wangebaki na watu wao maana ni dhahiri walikua na nguvu ya kutosha kupambana na mafisadi ya ccm ..ila kuwakaribisha kwao 'makapi' ya ccm.ni wazi kua hawana lolote maana ni hayo hayo makapi yalionyamazia wizi kwa siku nyingi na baada ya kuona maslahi yao hayasikilizwi yameamua kutafuta chao mahali pengine.....itazameni kama kukua kwa demokrasia ila hii ni kusoma upepo ,,makapi ya ccm yamesoma upepo na yanakuja kwa wingi.....na kwa kauli za raisi kikwete hayuko tayari kumpa upinzani nchi..yasije yakatokea ya kenya watu walikufa na bado raisi akabaki yuleyule.serikali ya mseto ikafanya hovyo..na bdae chama kingine cha upinzani kilichojizatiti kikachukua madaraka...
Oktoba 25 itakua ndo mwisho wa upinzani imara .
we kama ni msomi ni zao la shule za kata zenye mwalim 1 na kaka mkuu ....
 
Hakika vijana wamenyimwa haki ya msingi kwani uandikishaji ukiwa unafanyika mikoani walikuwa vyuoni hasa wengi (dsm) na vyuo vilipofungwa uandikishaji mikoani ulikuwa umemalizika na zoezi kuhamia (dsm) wakati wanavyuo wakiwa hawapo. Kwa maana hiyo wapo watu takribani 1Mil. waliokosa fursa ya kujiandikisha.

Hivyo ni vyema kila mwanachuo mmoja ahamasishe vijana 10 kupiga kura ili kuing'oa serikali iliyowanyima haki yao ya msingi.
 
Umenena kamanda
 
Tumia akili yko..mimi binafsi kama msomi siwezi hatarisha maisha yngu kwaajili ya siasa.tena hasa hasa kwa chama cha upinzani ambacho wako mstari wa mbele kutetea mafisadi..kaa chini ufikirie.laiti lowassa angechaguliwa kua mgombea kupitia ccm ina maana maswala yote ya richmond asingeyaweka wazi..ni wazi kua lengo lake ni kuuingia ikulu tu hata iiweje..mi nlkua mpinzani viongozi wa upinzani wamenisiktisha ..ni wazi agenda yao ilikua kuingia ikulu tu..swali lngu kwa lowassa kama kweli yeye ni mcha Mungu anavosema,, iweje akae kimya kwa miaka takribani saba kuhusu maovu yaliyofanyika na mabilioni yalioibiwa...huu ni unafiki..uchu wa madaraka ndo unawaongoza viongozi wa ukawa...na kama kweli walikua na nia ya dhati ya kumkomboa mtanzania wangebaki na watu wao maana ni dhahiri walikua na nguvu ya kutosha kupambana na mafisadi ya ccm ..ila kuwakaribisha kwao 'makapi' ya ccm.ni wazi kua hawana lolote maana ni hayo hayo makapi yalionyamazia wizi kwa siku nyingi na baada ya kuona maslahi yao hayasikilizwi yameamua kutafuta chao mahali pengine.....itazameni kama kukua kwa demokrasia ila hii ni kusoma upepo ,,makapi ya ccm yamesoma upepo na yanakuja kwa wingi.....na kwa kauli za raisi kikwete hayuko tayari kumpa upinzani nchi..yasije yakatokea ya kenya watu walikufa na bado raisi akabaki yuleyule.serikali ya mseto ikafanya hovyo..na bdae chama kingine cha upinzani kilichojizatiti kikachukua madaraka...
Oktoba 25 itakua ndo mwisho wa upinzani imara .

Huo ni mtazamo wako mkuu kuamasisha mtu akapige kura sioni kama kuna sehemu maisha yako yatakua hatarini tatizo system mbovu iliyotulea ndo inafanya uwe na mawazo ya kua maisha yako yatakua hatarini ukitaka mabadiliko tumia elimu yako kwa manufaa ya wote kwa matendo sio kwa kufikirika tu. E.g CV na vingine
 
stupid intellectual at the hili,,,,,,, politics is good to govern the society but a wise person should not engage in politics (Epicurian). A wise person must engage in politics instead of governed by ignorant leaders (Plato). maisha ni kuchagua lakini Plato yuko vzuri kuhusu siasa mageuzi yote + mapinduzi yaliletwa na vijana wa vyuo vikuu (wasomi),,,,wakiungana na wakulima mf.Russia,China ,France 1789 na nk so for all youths is a time to seek for changes
 
Well said mkuu
 
nkajua umewatangazia dau la pexa kumbe ukuda wa vyama vyama vya siasa vya kukuza ujinga tz

Wewe ni mmoja wa watu wanaikwamisha nchi yetu isiendelee kwa tamaa ya pesa za muda mfupi
 
Habari wakuu,

Napenda kutoa ushauri kwa wanafunzi wote wa vyuo walionyimwa haki zao na system mbovu ya CCM, wahamasishe watu huko maeneo walipo wapigie kura mabadiliko ya kweli yatakayoletwa na Mheshimiwa Lowasa kupitia UKAWA. Maana hakuna njia nyingine kuendelea kuwaacha hawa jamaa madarakani after Oct 25 2015.

Mfuasi mtendaji wa CHADEMA/UKAWA

Ndoroooooooooooooooooooooobo hawa CCM, wametunyonya vya kutosha
 
Back
Top Bottom