Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
220
Reaction score
41
Habari wakuu,

Napenda kutoa ushauri kwa wanafunzi wote wa vyuo walionyimwa haki zao na system mbovu ya CCM, wahamasishe watu huko maeneo walipo wapigie kura mabadiliko ya kweli yatakayoletwa na Mheshimiwa Lowasa kupitia UKAWA. Maana hakuna njia nyingine kuendelea kuwaacha hawa jamaa madarakani after Oct 25 2015.

Mfuasi mtendaji wa CHADEMA/UKAWA
 
Nimefurahia hili wazo ni lizuri sana na pia naomben mrushe kwenye magroup ya whatsap pamoja na mitandao yote ya kijamii ili uhamasishaji uanze tangu sasa
 
Lazima tuichinjie baharin
 
kaft rogathe Ni kwel mkuu sio lazima kila mtu ashike kisu wangne wakiamasisha October yetu
 
Last edited by a moderator:
Kampeni ikisha Ana hata NI askri wa miavuli watawezeshwa kutua kila kona. Nawaambia 25 October NI D Day Kama siku Muhimbili sana inavyo julikana Ulaya. Siku Askari wa miavuli walimaliza vita kuu kutua Ufaransa Kama nzige.

NASHAURI SIKU HIYO IBAKI KUWA PUBLIC HOLIDAY SIKU YA UHURU MPYA
 
Kuna madogo flani ninakaa nao mtaa mmoja yale madogo wanahasira sana na ccm ukizingatia yamejiandikisha yote saizi yaliniambia yapo kukusanya mataili ya kutosha na yamesema kura yatapiga na yatailinda mwanzo mwisho so yamesema wakiwazingua tu patachimbika yale madogo yanailaumu sana ccm wanashindwa kusoma kwaajili yao wakienda shuleni wanaongea tu walimu hamna vitabu hamna wanakaa chini halafu viongozi ambao wanawategemea watoto wao wanasoma nje ya nchi.
 
Wanatakiwa wanafunz watengeneze umoja alafu wafanye maandamano kila shule au chuo ambacho/ambazo awajajiandikisha! tanzania nzima uku wakitoa idadi yao kupitia mitandao na media ili tujue ni wangap awajajiandikisha! wala mcjaali mtapewa support na cc ambao ni ukawa!!
 
Kaka unalipwa shingapi na hao wachumia tumbo wa ukawa laiti wangekuwa na uchungu wa mabadiliko ya kweli kama ulivyo wewe upinzani ungekuwa mbali....

Lakini kula lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wa mbowe na sacos ndio huu, tamaaa ya pesa imemponza kakiua chama
 
Kaka unalipwa shingapi na hao wachumia tumbo wa ukawa laiti wangekuwa na uchungu wa mabadiliko ya kweli kama ulivyo wewe upinzani ungekuwa mbali....

Lakini kula lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wa mbowe na sacos ndio huu, tamaaa ya pesa imemponza kakiua chama

Mkuu ninacholipwa kina thaman kubwa kuliko pesa nacho ni amani ya moyo kua nakwenda kumchagua mtu na chama (CHADEMA) kitakacholeta mabadiliko ya kweli nchini hata wewe mwenyewe utafurahi.
 
Habari wakuu,
Napenda kutoa ushauri kwa wanafunzi wote wa vyuo walionyimwa haki zao na system mbovu ya CCM, wahamasishe watu huko maeneo walipo wapigie kura mabadiliko ya kweli yatakayoletwa na Mheshimiwa Lowasa kupitia UKAWA. Maana hakuna njia nyingne kuendelea kuwaacha hawa jamaa madarakani after Oct 25 2015.

Mfuasi mtendaji wa CHADEMA/UKAWA.

waache kusoma waende kwenye kampeni, mtawapa nauli? au huohuo mkopo ndo watumie kufanya kampeni, wadanganye watadisco.
 
CCM isitarajie kupata kura hata moja kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote.
 
Back
Top Bottom