Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Ni ukweli usiopingika kua Mseveni umeonyesha upendo sana kwa sisi majirani na ndugu zako kwa kutoa msaada kwa watu waliopata matatizo ingawa haikufika mpaka leo.Lakini pia tumeona upendo wako kwa wananchi wengine ambao ulikua tayari kuwapa mabati na saruji ili warudishe miji yao iliyobomolewa na majanga.Bila shaka nasi ungetamani kua hivyo kama ilivyokua kwa hao lakini nikuombe kua karibu sana huku na kura nyingi utapata kabisa ili uendelee kuongoza.Mseveni karibu Kagera kura zipo nyingi wala usipuzie