Wito.Karibu Museveni Kagera Kura zipo

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Ni ukweli usiopingika kua Mseveni umeonyesha upendo sana kwa sisi majirani na ndugu zako kwa kutoa msaada kwa watu waliopata matatizo ingawa haikufika mpaka leo.Lakini pia tumeona upendo wako kwa wananchi wengine ambao ulikua tayari kuwapa mabati na saruji ili warudishe miji yao iliyobomolewa na majanga.Bila shaka nasi ungetamani kua hivyo kama ilivyokua kwa hao lakini nikuombe kua karibu sana huku na kura nyingi utapata kabisa ili uendelee kuongoza.Mseveni karibu Kagera kura zipo nyingi wala usipuzie
 
Nahisi sijaelewa, labda aje mwingine anieleweshe
 
Nahisi sijaelewa, labda aje mwingine anieleweshe
Haiwezikani wewe ushindwe kuelewa mkuu soma tena labda..Kura za Mseveni zipo nyingi tu wala hamna kupiga kampeini kabisa
 
madikiteta wanafanana kwa mambo mengi sasa wanakagera msitamani ya Museveni yanaweza yakazidi haya.
Tufikirie mbali zaidi
 
Bora Dikteta anae penda watu anao waongoza kuliko Dikteta anayewachukia waliomchagua mtu wa upande wa pili
MSEVENI KARIBU KURA ZAKO ZIPO
 
Back
Top Bottom