beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
za asubuhi wanachitchat kwakweli iman yangu imeniponya maombi mliopiga bas ndo yamenifanya leo niweze amka mapema na mwenye afya tele napenda kuwashukuru sana kwa mapenz yenu kwangu hasa my shem ulietoa thread bila kumsahau love wangu jg my shost cl, junior cux kwa majungu pia bt asantee, badili tabia,cacico, bishangaa, jaman dada madame pia nashukuru,, ka aunt kangu eversmillin, st.paka mweusi, hao ni baadhi tuu ila wote na wote nawashukuru saaana ndo nimerudi rasmiiiiiiiii. BN in da house.
Nawapenda saaana
Nawapenda saaana