without uuu !!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
za asubuhi wanachitchat kwakweli iman yangu imeniponya maombi mliopiga bas ndo yamenifanya leo niweze amka mapema na mwenye afya tele napenda kuwashukuru sana kwa mapenz yenu kwangu hasa my shem ulietoa thread bila kumsahau love wangu jg my shost cl, junior cux kwa majungu pia bt asantee, badili tabia,cacico, bishangaa, jaman dada madame pia nashukuru,, ka aunt kangu eversmillin, st.paka mweusi, hao ni baadhi tuu ila wote na wote nawashukuru saaana ndo nimerudi rasmiiiiiiiii. BN in da house.


Nawapenda saaana
 
Uje nikufanyie maombi ya upako. ya kukufungulia matatizo yako yote. yataanza leo saa mbili hadi saa kumi na mbili alfajiri. mia
 
Pole mdogo wangu, Na karibu Home jamvini.
Hata nasi Twakupenda.
Ila umeniweka njia panda dadayo.
 
Kuhusu uumwacho mdogo wangu,
Kama ni Ujio mwema sema niandae "kibeseni"

Dada angu wewe mie kama kijacho ntakuambia tuu bado mipangilio ya mtoto na jg though dalili zilikua zinaonesha kama kijachoo nalitaman hilo besen si tutachukua na kigoma cha urugwai
 
Back
Top Bottom