Withdraw method imenishinda

Withdraw method imenishinda

Kanunue postinor 2 pills pharmacy kabla ya masaa sabini na mbili ili izuie mimba,,cjui ni eftano
Alafu acha akugande ukishampa ivo vijidonge we endeleza dozi mradi usisaau ndomu ckuingine
Asante kwa ushauri
 
mpe after morning pills kwa tahadhari alafu nunua ndom za kutosha weka hapo ndani.
 
Na huyu house girl c nitaozeshwa Mimi jamani
House girl ni status tu lakini lile tunda ulilokula halina tofauti na tunda la Mkurugenzi ama mwalimu n.k hivyo usikwepe jukumu kwani kuwa house girl ni dhambi (hiyo ni hatua ya maisha)
 
Baada ya miezi mitatu nenda ukapime afya yako
 
House girl ni status tu lakini lile tunda ulilokula halina tofauti na tunda la Mkurugenzi ama mwalimu n.k hivyo usikwepe jukumu kwani kuwa house girl ni dhambi (hiyo ni hatua ya maisha)
Cna mpango wa kuoa now mkuu
 
Cna mpango wa kuoa now mkuu
Itabidi uoe kwa lazima sasa kama mimba ikipatikana na huo ndio utaratibu wetu waswahili...mimba ya bila kutarajia means NDOA YA LAZIMA ili binti wa watu asinyanyapaliwe maana ni wanaume wachache sana wa Kiafrika akiwemo Diamond Platinum na mimi ndo hatuna shida kuwa na mwanamama mwenye mtoto wa mwanaume mwingine
 
Back
Top Bottom