SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,096 Reaction score 75,541 Feb 17, 2011 #21 Chakaza said: Wangesema hizi ni njama za kile chama cha .............. kuvuruga ushindi wa kishindo Click to expand... Mbona tayari kuna bwabwa fulani limeshasema kuwa CDM wanahusika na milipuko hiyo?
Chakaza said: Wangesema hizi ni njama za kile chama cha .............. kuvuruga ushindi wa kishindo Click to expand... Mbona tayari kuna bwabwa fulani limeshasema kuwa CDM wanahusika na milipuko hiyo?
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Feb 17, 2011 #22 Mallaba said: KWANI SISI TUNAPOPIGA MAKELELE KUSEMA kuwa hakuna acting goverment mnadhania tunatania? tz kila kitu ni hovyo hovyo tu Click to expand... Acting Govt?? ndio nini na ya nini????
Mallaba said: KWANI SISI TUNAPOPIGA MAKELELE KUSEMA kuwa hakuna acting goverment mnadhania tunatania? tz kila kitu ni hovyo hovyo tu Click to expand... Acting Govt?? ndio nini na ya nini????
Click_and_go JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 451 Reaction score 7 Feb 17, 2011 #23 Ivuga said: halafu huyu rais si alikuwa ni mwanajeshi? au ni rais buyu Click to expand... i doubt!!!
A A Lady Senior Member Joined Apr 28, 2009 Posts 103 Reaction score 4 Feb 17, 2011 #24 Wanasema Tanzania tuna amani, tusiandamane, tusiwashinikize tusije tukapoteza amani yetu. Haya sasa! Mie nimeshachoka!
Wanasema Tanzania tuna amani, tusiandamane, tusiwashinikize tusije tukapoteza amani yetu. Haya sasa! Mie nimeshachoka!