With Money e'man is HANDSOME, with poverty ur ugly

duh hii kadada kametulia tuliii...

mimi siamini bana,

pesa zinamfanya mwanaume handsome awe ugly inside,

pesa zinamfanya mwanaume azitumie kama lugha badala ya kuwasiliana kwa maneno ya mdomoni

pesa zinanunua uhuru wa mwanamke bila hiari yake

mapenzi na mwanaume mwenye pesa hujengwa kwenye misingi ya pesa, na focus yake iko kwenye pesa, ndio maana hata trust inakuwa na migogoro akipita mwenye pesa zaidi mwanaume tumbo joto...

na mengineyo mengi tu wengine watayaleta hapa na mimi ntaongezea baadae

...pesa yenye raha ni ile ya kuchuma pamoja na mume bana,

maisha ni zaidi ya material things...nk

Mko wachache sana wa hivi kwa matendo.
 
Back
Top Bottom