Kaka, ninacho jua mimi ni hivi;
Sigal zote za TV zina beba both audio na video (na information nyingine ambazo zinahitajika kwenye signaling). System ya PAL na NTSC zina define how color information is to be carried (encoded) on a TV signal. kwasababu PAL wana encode color tofauti na NTSC, basi hizo signal aziingiliani mpaka uwe na converter. Pia, kuna issue za timing amazo PAL hutegemea umeme wenye frequency ya 50HZ, wakati NTSC hutegemea timing kutoka umeme wa 60HZ.
On the other side, color coding ya High Definition haiku based on PAL or NTSC, bali is the same for any TV that can decode the HD signal. I believe HD ina tumia encoding scheme ya H.264/MP-4 ambazo ni digital standards ….
Kwahiyo kama TV yako in HDMI basi inaweza decode HD color format, which is independent of PAL or NTSC across the world…
Also, kumbuka kwamba any communication cable zina define a particular communication protocol na kila wiring pin kwenye port in kazi yake according to that protocol, which in this case it is HDMI port. Ukisha ingiza signal kupitia HDMI port basi umo ndani ya TV kuna decoder circuit ya HD iamabyo inafanya kazi ku-reproduce rangi; mpangilio wa rangi ambao hauko based on PAL wala NTSC.
I hope nimefafanua zaidi …sorry niliyasoma analog/digital transmission more than 20 years ago!