Witchdoctor sent to prison for duping Mugabe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Witchdoctor sent to prison for duping Mugabe

Discussion in 'International Forum' started by Keil, Oct 1, 2010.

 1. K

  Keil JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukishangaa ya Sheikh Yahaya na Kikwete .... utaona ya Mganga wa kienyeji na serikali ya Mugabe!

  Witchdoctor sent to prison for duping Mugabe

  HARARE

  A witchdoctor who misled Zimbabwean President Robert Mugabe’s entire Cabinet into believing that petroleum was oozing from a rock has been jailed for 27 months.

  President Mugabe went to the extent of setting up a Cabinet committee to investigate how the country could benefit from the “discovery” after Rottina Mavhunga claimed to have discovered refined diesel at a mountainous area.

  Mavhunga hosted several ministerial delegations at her shrine and was paid thousands of dollars as she sent the government on a wild goose chase. She cleverly exploited a fuel shortage that had gripped Zimbabwe for more than five years.

  A magistrate in Chinhoyi, about 100km from Harare, said the witchdoctor deserved a custodial sentence as the government had channelled money to her fake project and which was now lost.

  “The court cannot be faulted for saying that the offences were premeditated and diligently executed.

  “Many people became gullible owing to the crisis the country was under and accepted an unknown phenomenon.

  “The accused lied to the nation for self-actualisation and personal benefit. Your trickery brought despondency in the nation during a dry period,” the magistrate said while passing sentence.

  Mavhunga blamed the diesel claim on spirit possession. She said she does not know if the diesel exists.

  The government later discovered that Mavhunga and her accomplices were drawing diesel from tanks left by a white commercial farmer who lost his farm during President Mugabe’s controversial land reforms.

  Mugabe’s close ally and Zimbabwe’s registrar-general, Mr Tobaiwa Mudede, who allegedly sheltered Mavhunga when she was being sought by police, was also criticised.

  Mavhunga faces another charge after she allegedly exchanged a stone weighing 18kg, claiming it was gold, for a cow.

  Ninajiuliza: Hivi kwanini baadhi ya viongozi wa Afrika wanaamini haya mambo ya kishirikina? Mawaziri wazima wanaenda sehemu ya kuagulia na wakijua wazi kwamba wanaekwenda kwake ni mganga wa kienyeji kwanini hawakuwauliza wataalam wa jioojia au petroleum exploration?

  Hivi mtu akiwa mwanasiasa thinking capacity huwa inapungua? Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali na nchi husika!

  Serikali za Afrika viongozi wake utadhani hawakusoma hata darasa moja! So sad!
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  aibu tupu!
   
 3. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,900
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Teh, teh, ushirikina ni desturi yetu sisi waafrika, tunao kwa muda mrefu sana. hivyo kuuacha kwa ghafula hivyo siyo rahisi.
  na ndiyo maana utaona kipindi hiki cha uchaguzi wagombea wengi wanaenda mlingotini kupata msaada wa kishirikina, na wengine wanaua albino ili wapate fedha na mengine mengi mengi tu.
  Halafu cha kusikitisha hata watu waliosoma sana na vizuri tu, bado wana practise uchawi. nakumbuka siku moja nilisikia ofisa mmoja mwandamizi wa serikali alitapeliwa na mganga wa kienyeji ambaye limwambia yule bwana kuwa akileta elfu moja atapata elfu mbili, akileta 2 atapata 4, jamaa akaingia laini akaleta 15 mill akalizwa ishu ikawafikia hadi mapapalazi.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kwa Rais wa maisha Mugabe hakuna linalonishangaza.
   
 5. M

  Mnairobi JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  i think she was tanzanian
   
 6. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Good for her if she was. Why not collect from a fool?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  I doubt hii ni ghilba za West kum-demonize Mugabe..
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimeshatoma posa, naona unapenda sana wanaume wa bongo eeh? Karibu.
   
 9. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #9
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Luhehez

  WaTZ wanajulikana sana na hizi stori za uchawi na uganga. Nairobi kumejaa ma-signboards ya waganga wa TZ, hata pale Yaya center jana niliona kibao kimeandikwa "Mtembelee Daktari Abdulhalim kutoka Mwandui, Tanzania atakushughulikia kwa vyovyote; magonjwa ya zinaa, saratani, mapenzi, kupendwa kazini, nguvu za kiume, mtu aliyepotea nk"

  Hii ilinifanya nicheke ki-ajabu
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Y'all bitch-a$$ed negress can't cease to amaze me..

  Na hawa ni watz sio ? Pumbafu kabisa nyie machoko.

  LiveLeak.com - Five people suspected of witchcraft burnt alive in Kenya
   
 11. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  No name calling please!! But nimecheka sana jamani!!
   
 12. M

  Mnairobi JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siku hizi pia wanasema watakupa nguvu za kike jamani hizi ni nguvu ganiii??
   
 13. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160

  Obviously lazima iwe ni kwa sababu soko la waganga wa kienyeji Kenya ni kubwa.
   
 14. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,900
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  ukisikia wajinga ndiyo waliwao, basi ndiyo nyie. Na tutakuja wengi kuwatapeli tuhela twenu.
   
 15. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,900
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa ustaarabu kwao ni kituo cha polisi, halafu wanakuja hapa na kujitia kifrontifronti kana kwamba Kenya ni first world country..mi nawacheki tu kwenye saitimira huku nikikenua.. :heh:
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hivi cha kuwauliza mbona hao wajanja wa Tanzania wanawafata hukuhuko kwao Kenya, jibu ni simple tu hao jamaa wanaamini ushirikina
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Si ndio spirit ya EAC..wajinga ndio waliwao.
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Aiseee!!! I cant stand to watch this kind of animosity behaviour!! Are these real human being? How dare can you do that to a fellow human being? This is real beyond humanity!! Kwa kweli ndiyo maana ilikuwa ni rahisi kwa Wakenya kuuana kama wanyama wakati wa machafuko ya 2007.
  Sitaangalia tena picha hii, imeniharibia moody kabisa.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hata mie sijaangalia mpaka mwisho..hawa wakenya ni mazombie na ma-vampires kabisa aisee.
   
Loading...