Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
hiyo ndo faida ya nchi/selikali kutegemea uchawi kuliko Mungu. selikali kuongozwa na kina shehe yahya etc, ndo faida zake kama hizo...mganga wa kienyeji ana move hata cabinet ya mawaziri kabisa, watu wamekabidhi nchi kwa shetani, na ndivyo hata hapa bongo, nchi yetu imekabidhiwa kwa shetani, kina shehe yahya na waganga wa kienyeji. sipati picha namna ile ikulu ilivyozindikwa kwa majini mabilioni,